i hate when my boyfriend calls me by name and not baby. Am used to it.
hahaha! Asha Dii "namaste didi " miss u! ...
basi mi namshauri Bebii . M.me anapotema I LOVE YOU amuangalie usoni ...! je ni ya kirafiki ama ile yenyewe yenyewe .. when you are in love! and this word come out of your mouth (EYES CAN TELL THE STORY) so bebii mcheki usoni
Naamanisha kwamba huwezi kuacha muda ukuamulie kila kitu kwasababu haukusubirii.sasa da Lizzy hapa una maana gani!??
Watu wanaoa/wanaolewa na kuzaa na watu wasiowapenda we unasema mtu hawezi kudanganywa kwa muda mrefu?!Its all about dertemination...Mh..Lizzy mtu hawezi kukudanganya for that long wangu.Kuna mawili kati ya haya;Either, baada ya mda atachoka kukungojea na utajua huyu hakuimaanisha love yake.Or, Kuna wakati atajiuza tu kidogo, si unajua za mwizi arobaini ila za mwongo fupi!!
Naamanisha kwamba huwezi kuacha muda ukuamulie kila kitu kwasababu haukusubirii.
Hhahha asante baba mchungaji...sitaki kukuiga so i say IM INTO YOU!I love you!
Hhahha asante baba mchungaji...sitaki kukuiga so i say I‘M INTO YOU!
Lolzzz...will get back to you!Can I get in to you ...gotta the feelings
Lolzzz...will get back to you!
Duh,kweli wagombanao ndio wapatanao,Nyani Ngabu yuko wapi?Hhahha asante baba mchungaji...sitaki kukuiga so i say IM INTO YOU!
Duh,kweli wagombanao ndio wapatanao,Nyani Ngabu yuko wapi?
Hahahahaha....TODAY IS A GOOD DAY!!Lizzy!!!!"I love you. You're my only reason to stay alive… if that's what I am."
Wow....asante mzee wa busara.Love love you!Song of Solomon 8:7 Many waters cannot quench love; rivers cannot wash it away. If one were to give all the wealth of his house for love, it would be utterly scorned.
I hate when my boyfriend calls me by name and not Baby. Am used to it.