Wanaume na I LOVE YOU

Wanaume na I LOVE YOU

Nyinyi ndo mnapenda kudanganywa,
Unajua kabisa hali yangu ya maisha sio ya kifisadi,
na ninapanda daladala halafu unataka nikuambie nitakununulia gari maana yake ni nini?
Tena tumejuana juzi halafu unataka nikuambie ''nitakuoa'', hapo ntakua nakuongopea tu mpenzi.
 
hahaha! Asha Dii "namaste didi " miss u! ...

basi mi namshauri Bebii . M.me anapotema I LOVE YOU amuangalie usoni ...! je ni ya kirafiki ama ile yenyewe yenyewe .. when you are in love! and this word come out of your mouth (EYES CAN TELL THE STORY) so bebii mcheki usoni

Ushauri mzuri kweli..tatizo practicability yake!
Kuna mawili kati ya haya;

Either, atakua anaangalia chini huku akichora ramani/anang'ata kucha/anavunja vidole/anajichekesha (blush) ardhini wakati anaaambiwa hivyo..to the point anaishndwa kumuangalia msemaji machoni.
Or
Anamuangalia machoni ila anashindwa hata kudetermine kama ni kweli ama ni macho yake yanamdanganya! Unajua kule kujipa moyo.."aaa ni macho yangu tu, he looks honest!" i.e. anajidanganya kabla hata hajajidanganya!
 
Mh..Lizzy mtu hawezi kukudanganya for that long wangu.Kuna mawili kati ya haya;Either, baada ya mda atachoka kukungojea na utajua huyu hakuimaanisha love yake.Or, Kuna wakati atajiuza tu kidogo, si unajua za mwizi arobaini ila za mwongo fupi!!
Watu wanaoa/wanaolewa na kuzaa na watu wasiowapenda we unasema mtu hawezi kudanganywa kwa muda mrefu?!Its all about dertemination...
 
Bebii,
kama ndio hilo mnalolipenda na mnakuwa rahisi kubebeka kwa nini tulilitumie...
wewe nikikufuata na kukwambia kuwa naomba unipe unyumba utakubali...........

huo ndio wimbo mnao upenda wacha tuutumie.........
 
so smrt mambo yote kisa unyumba?
 
Mie sisemagi kithungu...husema Kisukuma....Nimekudondokeaga wewe Mudada...
 
Lolzzz...will get back to you!

Love love you!

Song of Solomon 8:7

Many waters cannot quench love; rivers cannot wash it away. If one were to give all the wealth of his house for love, it would be utterly scorned.
 
Lizzy!!!!

"I love you. You're my only reason to stay alive… if that's what I am."


 
Love love you!Song of Solomon 8:7 Many waters cannot quench love; rivers cannot wash it away. If one were to give all the wealth of his house for love, it would be utterly scorned.
Wow....asante mzee wa busara.
 
Back
Top Bottom