Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Kapumzika!!Vipi kwani...unamuhitaji?!Duh,kweli wagombanao ndio wapatanao,Nyani Ngabu yuko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapumzika!!Vipi kwani...unamuhitaji?!Duh,kweli wagombanao ndio wapatanao,Nyani Ngabu yuko wapi?
Wow....asante mzee wa busara.
Whaaaat?!So youll never apologise hata ukikosea?!EVERRR?!"Love means never having to say you're sorry."
Whaaaat?!So you‘ll never apologise hata ukikosea?!EVERRR?!
Bebii kudanganyika kuna raha yake ujue...ila ni leo tu kwahiyo ondoa shaka.beby nini wewe unadanganyika?
Ohhh kumbe hamna kukoseana....?Owkey then ntavaa hiyo future yako mpaka ichakae.LolzI feel like you are wearing my future! When theres love theres no Sorry! Maana yake hakuna kukoseana....lol
Keren sasa hapo ndo zile lawama za umenipotezea muda wangu zinapoanza maana mtu anaweza akatumia miaka yake mitatu kutaka kujua I LOVE YOU aliyopewa ilimaanishwa au ilikua geresha.Ukizingatia kwamba wasanii wengi wa mapenzi hua waigizaji wazuri anaweza akakuuzia hiyo I LOVE YOU kwa maneno na matendo mpaka pale atakaporidhika na kutosheka na wewe/atakapopata role play kwingine ndo ugundue kwamba ilikua geresha.Ukikutana na watu wa aina hii mara 3 au 4 maishani mwako ina maana kwamba utapoteza angalau miaka 10 ya maisha yakp yote kutaka kutofautisha I LOVE YOU original na mchina.Nani mwenye muda huo?!
Kwani kuna mtu anapenda kuambia anachukiwa......mhhhhh!!!!!
Ohhh kumbe hamna kukoseana....?Owkey then ntavaa hiyo future yako mpaka ichakae.Lolz
Hapo sasa ndio mtihani ulipo mpendwa...ni kiasi tu cha kuomba Mungu akubariki na mtu ambae atakua mkweli kwako iwe anakupenda kweli au anataka mpotezeane muda tu.Sasa my dear Lizzy, tutafanyaje??? Nafikiri tunamwitaji Mungu aturehemu na kutupatia original I LOVE YOU....mhhhhh!!!
And WE are made of that one soul ehhhh?!Love is composed of a single soul inhabiting two bodies - Greek Philosopher Aristotle
And WE are made of that one soul ehhhh?!
Mkuu hizi fonts ni kukomoana au hutaki watu wasomeBebii tatizo sio I LOVE YOU, pale mwanzoni ukishaambiwa hiyo I LOVE YOU au hata usipoambiwa unatakiwa uweke terms and conditions, what do u need to achieve from the relationship coz mara nyingi goals zinakua tofauti wakati yeye anafakiria short time relation labda ww unafikiria long time relation leading to marriage etc,so msipo plan well in advance na kukubaliana mwisho wa siku lazima mmoja aumie.
So we are SOULMATES ehhh?!Yes Madam! Ask Bubu A Kusema
Mkuu hizi fonts ni kukomoana au hutaki watu wasome