Wanaume na I LOVE YOU

Wanaume na I LOVE YOU

beby nini wewe unadanganyika?
 
Whaaaat?!So you‘ll never apologise hata ukikosea?!EVERRR?!

I feel like you are wearing my future! When theres love theres no Sorry! Maana yake hakuna kukoseana....lol
 
Keren sasa hapo ndo zile lawama za “umenipotezea muda wangu“ zinapoanza maana mtu anaweza akatumia miaka yake mitatu kutaka kujua I LOVE YOU aliyopewa ilimaanishwa au ilikua geresha.Ukizingatia kwamba wasanii wengi wa mapenzi hua waigizaji wazuri anaweza akakuuzia hiyo I LOVE YOU kwa maneno na matendo mpaka pale atakaporidhika na kutosheka na wewe/atakapopata role play kwingine ndo ugundue kwamba ilikua geresha.Ukikutana na watu wa aina hii mara 3 au 4 maishani mwako ina maana kwamba utapoteza angalau miaka 10 ya maisha yakp yote kutaka kutofautisha I LOVE YOU original na mchina.Nani mwenye muda huo?!

Sasa my dear Lizzy, tutafanyaje??? Nafikiri tunamwitaji Mungu aturehemu na kutupatia original I LOVE YOU....mhhhhh!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwani kuna mtu anapenda kuambia anachukiwa......mhhhhh!!!!!

KH...asilimia kubwa ya watu wamelichakachua hili neno la "I LOVE YOU" na hivyo kupoteza maana yake ambayo ni nzito sana, lakini bado kuna watu ambao wakiyatumia maneno haya matatu bado yana maana ile ile iliyokusudiwa na huwa yanatoka moyoni kabisa. Ndio mapenzi ya kisiku hizi chochote kile mtu anachosema mara nyingi yule anayeambiwa huwa anakitafsiri tofauti na maana yake halisi. Halafu hukawii kusikia mtu analalamika mie hata sijui BF wangu au mume wangu ananipenda kiasi gani maana hajawahi hata siku moja kuniambia "I LOVE YOU" halafu watu wakiambiwa I LOVE YOU basi wanaliona hili neno lina negative connotation!!!! Kazi kweli kweli!
 
Hivi siwezi nikawa (I Love you) Jana au Chuzi au mwaka Jana alafu nikawa (I dont love you no more leo)?
Unajuaje kama mtu anadanganya na kwamba at that instant ni kweli anakupenda?
No one knows about tomorrow Lets Cherish the Moment; I Really Love You Now...as of Tomorrow no one knows
 
Ohhh kumbe hamna kukoseana....?Owkey then ntavaa hiyo future yako mpaka ichakae.Lolz



Love is composed of a single soul inhabiting two bodies - Greek Philosopher Aristotle
 
Sasa my dear Lizzy, tutafanyaje??? Nafikiri tunamwitaji Mungu aturehemu na kutupatia original I LOVE YOU....mhhhhh!!!
Hapo sasa ndio mtihani ulipo mpendwa...ni kiasi tu cha kuomba Mungu akubariki na mtu ambae atakua mkweli kwako iwe anakupenda kweli au anataka mpotezeane muda tu.
 
Bebii tatizo sio I LOVE YOU, pale mwanzoni ukishaambiwa hiyo I LOVE YOU au hata usipoambiwa unatakiwa uweke terms and conditions, what do u need to achieve from the relationship coz mara nyingi goals zinakua tofauti wakati yeye anafakiria short time relation labda ww unafikiria long time relation leading to marriage etc,so msipo plan well in advance na kukubaliana mwisho wa siku lazima mmoja aumie.
 
Bebii tatizo sio I LOVE YOU, pale mwanzoni ukishaambiwa hiyo I LOVE YOU au hata usipoambiwa unatakiwa uweke terms and conditions, what do u need to achieve from the relationship coz mara nyingi goals zinakua tofauti wakati yeye anafakiria short time relation labda ww unafikiria long time relation leading to marriage etc,so msipo plan well in advance na kukubaliana mwisho wa siku lazima mmoja aumie.
Mkuu hizi fonts ni kukomoana au hutaki watu wasome
 
Niliposoma hii post, nimetuma msg kwa dada mmoja (I hope hayupo JF), na ambaye sina mahusiano ya kimapenzi naye nikaandika;

I .... YOU (jina lake). Kisha nikamwambia ajaze neno ambalo atajisikia vizuri nikiliweka hapo kati. Kwa kasi ya ajabu msg ikajibiwa LOVE

Bebii, can you comment?
 
Back
Top Bottom