Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
- Thread starter
-
- #121
kuna wenzenu wanabadiliKubadili dini kisa mwanamke ni sawa na mwanaume kuhama kwake na kwenda kuishi kwenye nyumba ya mwanamke ni udhaifu wa hali ua juu na ulofa wa kiwango cha lami
kumbe mnajuanaYeye Ni mweusi hiyo picha sio yeye
unafosi mazoea? kua makiniHawara ako kabadil dini kwa ajili ya kimada kingine unakuja foka huku
Maisha ya mahusiano yataka moyo kuna muda nikikaa nawaza kumbe mahusiano ni utumwa nikilinganisha now na nilivyokuwa [emoji19]kupigwa matukio kusikufanye ukaona wanawake tunafanana mimi kuna mmoja alikuja hadi kujitambulisha ikawa ndio baba jeni byebye mbwa yule lakini sikukata tamaa
Mawazo mgando! Yaani unashindwa kuoa demu unaempenda kisa dini? Kwani Dini ni nini? Na mapenzi ni nini? Kama unaweza bonda demu also dini yako,basi jua waweza kuoa pia?Kumbe kufungiwa jf kunauma hivi siku zilikua hazisongi any way tuachane na hayo.
Unamchukuliaje mwanaume anayebadili dini kisa mwanamke, mimi namuona wa ajabu kweli kama ameshindwa kusimamia imani ya dini yake bas hata maamuzi kama baba wa familia hatokua nayo mke akimkingia kibesi tayar kaflot,
Wanaume acheni huu ufwala kama binti amekupenda akufuate na sio wewe umfuate na tambua once utaamua kumfuata huyo manzi kisa dini kuna vyeo flani flani umejivua kama mwanaume tafuta wa dini yako wanawake tuko kibao usipelekeshwe na tamaa za moyo wako bila kushirikisha akili yako utaja umia
Sasa ndo muwe mnakataa kuolewa na Wanaume wasio wa imani zenu.Ni heri hivo na mtu abadili Kwa moyowake kunipenda Imani na ilivo ngumu kwako kumfata mwanamke ndio ngumu Kwa mwanamke kukufata wewe na wengi waliowahi wanaishi kama wapo jela
Nina mifano mingi Kwa rafikizangu na hata ndugu
Kuna mama mtu mzima sana alibadili kuwa muislam akiwa bint kaolewa kakaa kwenye ndoa miak Zaid ya ishirin mume kafariki karudi kwenye dini yak ya zamani,fikiria kias gani kaishinkwa shida ya kuabudu asichokipenda Kwa miak mingi
Kweli kabisabinafsi nataka mwenza wa dini yangu mambo ya kugawa watoto siyataki
Kweli kabisa mkuu,Wanaume tumepewa nguvu kubwa sana ya kuwa Viongozi na wenye misimamo na nguzo za familia.hii mada n senstive usikute anayekubishia ndio yupo kwenyw hio situation mwanaume ameumbwa kiongozi na nguzo ya familia we angalia familia nyingi ukiona baba hanamsimamo rudi kwa mwanamke uone
Hatukatai 😀Sasa ndo muwe mnakataa kuolewa na Wanaume wasio wa imani zenu.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Unahamje dini kwa sababu ya mapenzi,Iman n kitu kikubwa hama kwa sababu za kiimani na kiroho sio mapenzi ,sasa mkiachana inakuwaje km ulihama sababu ya mapenzi!
sasa ndio unakumbana na wale kina joyce kiria halaf limoyo lako ndio limemdondokea unafanyajeKweli kabisa mkuu,Wanaume tumepewa nguvu kubwa sana ya kuwa Viongozi na wenye misimamo na nguzo za familia.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
poleMawazo mgando! Yaani unashindwa kuoa demu unaempenda kisa dini? Kwani Dini ni nini? Na mapenzi ni nini? Kama unaweza bonda demu also dini yako,basi jua waweza kuoa pia?
kwa hapa nilipofikia am glad nimepitia hizo changamoto mana sioni jipya imenifanya nimekua mkomavu na sikukata tamaa yule mshenzi skutegemea angenitenda vile kibaya zaidi tulikua wanawake kama wanne sote katufanyia hivo akaja kuoa mwanamke alijua kumpelekesha siku nakuja kujua ndoa haina mwaka ishakwenda na maji nilisema malipo ni hapa hapa kwa kweli tukikutana insta full kuomba msamaha nasijawah kumjibu either nimemsamehe au sjamsamehe as long as i have my own life, na ninaishi my fucking good life halaf Mungu akajua kunipa mwanaume anayenijulia hivo usikate tamaaMaisha ya mahusiano yataka moyo kuna muda nikikaa nawaza kumbe mahusiano ni utumwa nikilinganisha now na nilivyokuwa [emoji19]
umemshauri vyemaa, aache ujingaKuna jamaa yangu mkristo anataka kunadili dini kama gelesha ili amuoe binti wa kiislamu then anaendelea na dini yake kama kawaida. Sababu anasema familia ya binti imegoma mtoto wao kuolewa kwa dini tofauti. Jamaa anasema binti ni wife material sana.
Mm nimemshauri aachane nae tu, atafute mchumba mwingine.
Sanapole
ahahahahahaa yan na lile piko lake kule kichwani ptuu wanawake tuna kaz sanaHome boy Barnaba kazngua sanaa. .Hana tofaut na wale wanaume wakio left grp