Wanaume na kubadili dini

Wanaume na kubadili dini

Kila mtu na choices zake maishani...

Mtu mzima kachagua kufuata dini nyingine, hajalazimishwa then waja mnahangaika...

Mimi watoto wangu nitawafundisha kupenda watu wengine,kutoiba etc

Dini watachagua wenyewe wakifika 18 years old

Hata wakiamua kufuata dini za wahindi sawa tu
I like this thinking

Individualism.....you got'cho yours ,I got mine!

You have a such fine brain!
 
Kumbe kufungiwa jf kunauma hivi siku zilikua hazisongi any way tuachane na hayo.

Unamchukuliaje mwanaume anayebadili dini kisa mwanamke, mimi namuona wa ajabu kweli kama ameshindwa kusimamia imani ya dini yake bas hata maamuzi kama baba wa familia hatokua nayo mke akimkingia kibesi tayar kaflot.

Wanaume acheni huu ufwala kama binti amekupenda akufuate na sio wewe umfuate na tambua once utaamua kumfuata huyo manzi kisa dini kuna vyeo flani flani umejivua kama mwanaume tafuta wa dini yako wanawake tuko kibao usipelekeshwe na tamaa za moyo wako bila kushirikisha akili yako utaja umia
Dini ni mapokeo tu mkuu, umezaliwa ukakuta wazazi wako wakristo/waislamu, na wewe ukajikuta unatembea humohumo.

Ukishafikisha age of majority au 18 years, sioni tatizo ukibadili uelekeo kwasababu unakua na uwezo wa kung'amua jema na baya.

Tatizo ni nini kinachokusababisha ubadili dini? Mimi nawaunga mkono wanaobadili dini kwa kutumia utashi wao binafsi na siyo kwa sababu ya kitu flani kama mapenzi, fursa n.k.
 
Huu uzi umenikumbusha Wazee Fulani na vyeo vyao kabisa Wamebadili dini ukubwani,, wamewafuata wake zao.
 
Back
Top Bottom