Wanaume na kubadili dini

I like this thinking

Individualism.....you got'cho yours ,I got mine!

You have a such fine brain!
 
Dini ni mapokeo tu mkuu, umezaliwa ukakuta wazazi wako wakristo/waislamu, na wewe ukajikuta unatembea humohumo.

Ukishafikisha age of majority au 18 years, sioni tatizo ukibadili uelekeo kwasababu unakua na uwezo wa kung'amua jema na baya.

Tatizo ni nini kinachokusababisha ubadili dini? Mimi nawaunga mkono wanaobadili dini kwa kutumia utashi wao binafsi na siyo kwa sababu ya kitu flani kama mapenzi, fursa n.k.
 
Huu uzi umenikumbusha Wazee Fulani na vyeo vyao kabisa Wamebadili dini ukubwani,, wamewafuata wake zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…