ni kweli kabisa
Na mie hapa huwa sielewi
akishalipuka nyumbani
ndo anaweza sema ana matatizo kazini
lakini hawezi fika tu na kukwambia
men bana!
kusema kuwa nina tatizo hapo ni ngumu
na kuanza kusema kuwa tatizo ninalo ni ngumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli kabisa
Na mie hapa huwa sielewi
akishalipuka nyumbani
ndo anaweza sema ana matatizo kazini
lakini hawezi fika tu na kukwambia
men bana!
Kama anapiga ulabu hakikisha nyumbani kuna chupa kadhaa za red label.akiwa na hasira
angusha hata kijiko
maneno yatakayomtoka utashangaa
ataingizwa hadi mama ako humo
unabaki na swali
hivi ugomvi huu ni hiki kijiko tu?
Ole wako ujaribu
kuclarify situation
utaimba haleluya
ni bora ukajisemea 'pole'
baadae muulize
ni nini kinakusumbua?
Utasikia 'aah, unajua ile dili yangu nimedhulumiwa'
so nina mood sana.
Nini kimekuchanganya?Umenichanganya kabisa hapa
uzuri mume wangu ni rafiki yangu, haoni shida kunisimulia mambo yanayomwangusha na mara nyingi huniomba ushauri kwa vitu vingi sana, siwezi kusema vyote, labda vingine haniambii, mara nyingi akiwa na kitu kinamsumbua lazima ataniambia, anaweza kusema this is embarrassing lakini naomba nikuambie. nadhani na mimi nampa confidence ya kunisimulia sababu nitajitahidi kwa lolote atakaloniambia asijisikie vibaya baada ya kufanya hivyo na namwambia hilo mbona la kawaida......Hiyo ni mbinu nzuri sana, na kwa wanawake huwasaidia kuondoa stress, lakini kumbuka kwamba wanaume mara nyingi ni wasiri sana, na wao kuzungumzia mambo ya kunyanyaswa kazini, ni sawa na kukiri udhaifu mbele ya wake zao, na ndio maana huumia ndani kwa ndani na mwisho wa siku hulipukwa na hasira hata kwa jambo dogo kiasi gani na wanaoathiriwa na hali hiyo ni wake zao au watoto kwa ujumla.
Nini kimekuchanganya?
uzuri mume wangu ni rafiki yangu......
Ndo maana binti yangu ataenda kwenye mikono salama. Mie pia nimeoana na rafiki yangu asee. Vinginevyo kandoa kangu kangeshavunjika siku nyiiiiingi!uzuri mume wangu ni rafiki yangu, haoni shida kunisimulia mambo yanayomwangusha na mara nyingi huniomba ushauri kwa vitu vingi sana, siwezi kusema vyote, labda vingine haniambii, mara nyingi akiwa na kitu kinamsumbua lazima ataniambia, anaweza kusema this is embarrassing lakini naomba nikuambie. nadhani na mimi nampa confidence ya kunisimulia sababu nitajitahidi kwa lolote atakaloniambia asijisikie vibaya baada ya kufanya hivyo na namwambia hilo mbona la kawaida......
nimekuchanganya nini tena fide?
huyo alikuwa mkeo au GF? kule kwa GF huwa hamtakiwi kueleza weakness zenu, ila kwa mke? sasa atakusaidiaje kama humwambii nini kinakusibu?niliwahi jaribu kuishi namna hiyo ikifikiri kuwa ndio itasaidia mwenzangu ajue niko kwenye wakati mgumu lakini ndio ilikuwa mwanzo wa matatizo nimejifunza kunyamaza kimya hata nikiwa napita kwenye magumu kiasi gani.
wakati mwingine wanawake hawataki kujua kuwa mwanaume ana matatizo maana wanatuonaga kuwa sisi ni kma vyuma yaani hatupaswi kulia lia, kila siku wewe unamlilia mwenzako anakuona **** pengine kuna wengine wangependa wasikie labda kuna mtu alikuudhi na ukampiga kibao atasema yes huyo ndio mwanaume.
Pia wanawake wanashindwa kujua ni wakatio gani wa kuelezea jambo fulani kwamfano mtu anakuja hajajua uko kwenye mudi gani anaanza kuropoka kuwa katongozwa leo kazini na bosi wake ebu niambie halafu yeye kila siku ndio wa kutongozwa? inamaana ni mzuri sana au ndio ananitishia kuwa nisipokaa vizuri atawakubalia. unaweza ishia kulambwa kibao
hivi mnakuwa kitu kimoja?Hongera kwa kuolewa.
Sasa mme anakuwaje awe rafiki yako wakati mmeunganishwa na kuwa kitu kimoja?
Ndo maana binti yangu ataenda kwenye mikono salama. Mie pia nimeoana na rafiki yangu asee. Vinginevyo kandoa kangu kangeshavunjika siku nyiiiiingi!
hivi mnakuwa kitu kimoja?
sisi bado kila mtu ana feelings zake, maamuzi yake,........ ndo maana tunaendelea kuwa marafiki.
Asante
Ndo maana binti yangu ataenda kwenye mikono salama. Mie pia nimeoana na rafiki yangu asee. Vinginevyo kandoa kangu kangeshavunjika siku nyiiiiingi!
Nahofia huyo rafiki yako hachelewi kumbadilishia mwanao kibao. Binti mwenyewe ushamuona lakini? Ni vile tu hairuhusiwi, ningemuoa mwenyewe.ha haaaaaaaaaa, rafiki, yaani binti atakuwa salama kabisa, au ahamie kabisa kwetu ili tuanze kukalea tangu saa hizi? ni strategy nzuri
he is my close BF ila tumeoana zamaaaaaaaaniBasi huyo mme ni B/F na sio mmeo utakubaliana na mimi kwa hilo?
Yeah... Tangu primary!Mpwa mama nanihii ni rafiki yako?
rafiki, mtake radhi rafiki yangu.................Nahofia huyo rafiki yako hachelewi kumbadilishia mwanao kibao. Binti mwenyewe ushamuona lakini? Ni vile tu hairuhusiwi, ningemuoa mwenyewe.
he is my close BF ila tumeoana zamaaaaaaaani
Yeah... Tangu primary!