ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Yesu siio mzungu wala mwafrika zile filamu unazoziona watu wameigiza tu ili kuleta ujumbe kwa hadhira fulani hasa sisi wanadamu
kama wewe ni mtu unayefuatilia mambo ya filamu, maigizo, tamthiliya utaelewa tu
kama wewe ni mtu unayefuatilia mambo ya filamu, maigizo, tamthiliya utaelewa tu
Kwa ni Yesu naye si alikua Mzungu? Na wewe umesema ulimbukeni wa ku copy na ku paste kutoka kwa wazungu!
Sasa wakimuamini Yesu si issue ileile ya ku copy& paste?