Wanaume na ndoa!

Well said; I am totally convinced, halafu wewe hapo unaweza kuniingiza dini kirahic :smiling:
 
hii ni XXL
 

nimetema mate (pyuu mbakasia)
ni need to say more! I just wish atakua mwanafunzi mwenzie maana kidogo adhabu yake itavumilika. lakini nawe huogopi jela baada ya kupeleka mtu motwachere? na hata matesha akakosa mlezi!
 

ipo bana.....kuna presumption of marriage kwenye sheria yetu ya ndoa!!

if u cohabit for two yrs u r presumed to be a husband and a wife
 
nimetema mate (pyuu mbakasia)
ni need to say more! I just wish atakua mwanafunzi mwenzie maana kidogo adhabu yake itavumilika. lakini nawe huogopi jela baada ya kupeleka mtu motwachere? na hata matesha akakosa mlezi!
Hapo naona umetema kikwenu..... Hebu tema kwa kiswahili sasa...
 
Well said; I am totally convinced, halafu wewe hapo unaweza kuniingiza dini kirahic :smiling:

tupange bai ratiba ya mafundisho besti....lol!!

Noname dunia yetu hii tuishimo hiiii......wee acha tu!!
 
mi si kiswahili nimejifunzia shule sijui!

Yaani vibinti kama hivyo kwenye avatar yako dude lenye midevu yake livipe mimba? Hii thread ngoja niongee na invizibo aifute! LOL!
 
Yaani vibinti kama hivyo kwenye avatar yako dude lenye midevu yake livipe mimba? Hii thread ngoja niongee na invizibo aifute! LOL!

anza kuwapa somo mapema hivi, maana siku unafikiri ndio muda muafaka wao wameshafahamu mengi kama makungwi!
 
tupange bai ratiba ya mafundisho besti....lol!!

Noname dunia yetu hii tuishimo hiiii......wee acha tu!!

No kidding mie naona tumekuwa homo limitlessness ndo maana maisha yanakuwa magumu.... na hizi dini ndo zinatuwekea limits, mie nilishapata adabu yangu ikabidi ni rudi kwa mungu... yes I started talking God (dont ask me which God) because he is the same God the creator of the universe... sawa basi tupange ratiba... :smiling:
 

why should I ask wakati umeweka jibu zuri hapo mamii!!!

sawa tutapanga privately basi
 
Mimi ni mwanamke lakini wen it comes kwa issue kama hizi naunga mkono uchangiaji wa wanaume.. Wanawake tunasababisha yote haya wengi wa wanawake siku hizi wanaangalia kama mwanaume anacho ndio atataka kuolewa naye, starehe na material tumeweka mbele kuliko hata mapenzi na utu. Mimi sishangai kwa nini wanaume siku hizi wanasita kuoa. Wanawake tubadilike na hizi kitchen party ndio zinaponza kweli kweli mengi yanapatikana huko ni kudanganyana tu.
 
mmhmmh flexibility ya avatar yako imenipoteza na nimeshindwa kusoma post yako.........

I hate your avatar.....this is from the deepest part of my heart!!!

Jeez..., what is happening here? First it is the flexibility of the avatar, then it is hate...then? Any reasons?
 
huo uutupu mi ndo umenikwaza wala si flexibility
 
... yani hata kama mmeishi pamoja
Kama mmeishi nae bila kuoana anakuona wewe ni hood hoe, akuoe wa nini? Kama unagawa mpaka unamwambia ishi nayo, lala nayo, basi the status quo is working, aint gotta fix nothin, tena ni loop hole ya kutokea, akichoka nayo hana mkataba wala vifungo, ni kuanza na moto.
 
.........Wameishi miaka 10 pamoja,na wana watoto 4, hawa watakuwa wana ndoa ya kimila.Kuna sheria inasema kwamba watu mkiishi miaka 2 pamoja hii serikalini inajulikana ndoa tayari.Kama huyo mwanaume alimtolea mahari huyo mwanamke basi huyo mke wake halali kimila ndio maana mwanaume hana pressure.

.......Huyo mdada alikosea mwenyewe tokea mwanzo kukubali kwenda kuishi na mwanaume bila ndoa ya kidini...........hivyo inabidi awe mpole tu kama mume hataki kwenda kufunga ndoa kanisani.

........Kama anaona cheti cha ndoa muhimu sana inabidi amuongeleshe mumewe maneno matamu ili wakafunge ndoa ya serikalini ili wapate cheti...........vile vile awe mjanja ahakikishe vitu vyote walivyo navyo nazungumzia mali hapa waandike kwa majina yao wote wawili ili asije kugeukwa baadaye.
 
Sababu yaweza kuwa ni u chameleon unaaonyeshwa baada ya ndoa. Mtu akifikiria hayo anaweza amua awe anapata service za bila malipo maana nazo si zipo. Kama zikikosekana naamini watu wataoa bila kujari nini kitatokea mbele ya safari
 

...wala siwalaumu, wake waminifu wamepungua sana miaka hii.
 

Pretty cheti cha serikalini kipo! cha kanisani pia muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…