Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 866
Mbona mi ndio kwanza nataka kuanza kuchangia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
:closed_2:
closed kivipi? si tunaweza kuendele kutumia kiwanja hiki hiki hata kwa mazoezi tu? (maofutopiki i mean)
Nilijua tu..... Haya niambie umenimisi kwa pasenti tisini na ngapi vile?
asanteni kwa kila aliechangia! lets close this topic and start something we can both enjoy!
mnaogpa majukumu
he!Better to have a plain wife for yourself than a beautiful wife for others.
"I'm not afraid of storms, for I'm learning to sail my ship
"The Following User Says Thank You to Mom For This Useful Post:
Chrispin (Today)
:closed_2::closed_2::closed_2:
huo uutupu mi ndo umenikwaza wala si flexibility
mnaogpa majukumu
YEPI ilo kubali kuwa nanyi hata kwa muda mfupi tu wenye everlasting consequences ni JUKUMU tosha:A S tongue:
Hapo umeguna au umekunwa na point?
:closed_2::closed_2: Once and for all!!!nani alisema hii mada imefungwa na watu bado wana vyoint kibao hapa??
Mom,
Ukiona mtu hataki kitu fulani ni kwamba ameona hakina faida kwake. Same goes for ndoa. Asiyetaka ndoa ni kwamba haoni faida yake.
Swali jingine pia la kujiuliza ni kwa nini wanawake wanapenda sana ndoa?
Labda ndoa ina faida kubwa kwa wanawake na hatari / hasara kwa wanaume.
kweli wanaume wengi huingia kwenye ndoa kwa sababu wanawake walitaka hivyo. lakini kwani hasara kwa wanaume iko wapi?