Wanaume na ndoa!

Wanaume na ndoa!

@G ukiangalia tuliyokatazwa lazima utagundua madhara yake, kwa uwazi kabisa na hapa sasa hata suala la Mungu haliji wala nini maana madhara yanakup[ata wewe mwenyewe!!! utiifu wa sheria za Mungu wala haumnufaishi Mungu bali sisi wenyewe!!!

majority tunafanya huku tukijua matokeo yake kabisa lakini bado tunafanya!!! basi tukubaliane tu ngono haikataziki kwa karne hii!!
Well said; I am totally convinced, halafu wewe hapo unaweza kuniingiza dini kirahic :smiling:
 
Poa mama! Mzima wewe? Hapo kwenye red hakyanani nimesisimka! Halafu nikakuzawadia hiki hapa

The Following User Says Thank You to Mom For This Useful Post:
Chrispin (Today)

Back to the topic: Hakyanani hebu tema mate chini:

1.Aliyempa mimba kama atakuwa mjingamjinga (konda, dereva, muuza genge nk): Yeye ataenda mochware, mimi ntakuwa nasubiria signecha ya prezidenti, binti atalelewa na mama yake.
2.Kama atakuwa mwanafunzi mwenzie: Ntavuta pumzi na kutafakari kwa kina. Ntahitaji na busara za wazazi wake
3.Kama atakuwa mme wa mtu: Itakuwa kama namba 1 hapo juu pamoja na nyongeza ya mimi kummegea mkewe na mabinti zake kabla sijamhamishia mochware
4.Kama atakuwa kijana mwenye heshima yake na mwenye elimu/kipato cha kueleweka, atafungishwa ndoa ya mkeka. Akiikataa namba moja itaaply

Kuna haja ya kuendelea zaidi au nimeshaeleweka?
hii ni XXL
 
nimetema mate (pyuu mbakasia)
ni need to say more! I just wish atakua mwanafunzi mwenzie maana kidogo adhabu yake itavumilika. lakini nawe huogopi jela baada ya kupeleka mtu motwachere? na hata matesha akakosa mlezi!
 
Tatizo kubwa hapa lingine ni sheria za ndoa za Tanzania ambazo zimepitwa na wakati. Nchi za magharibi kama mwanamke na mwanaume wameishi kwa kipindi fulani katika nyumba moja basi mwanamke ana haki zote kama za mke aliyeolewa kanisani au msikitini. Kuna kila sababu ya bunge kupitisha sheria kama hii nchini.

ipo bana.....kuna presumption of marriage kwenye sheria yetu ya ndoa!!

if u cohabit for two yrs u r presumed to be a husband and a wife
 
nimetema mate (pyuu mbakasia)
ni need to say more! I just wish atakua mwanafunzi mwenzie maana kidogo adhabu yake itavumilika. lakini nawe huogopi jela baada ya kupeleka mtu motwachere? na hata matesha akakosa mlezi!
Hapo naona umetema kikwenu..... Hebu tema kwa kiswahili sasa...
 
Well said; I am totally convinced, halafu wewe hapo unaweza kuniingiza dini kirahic :smiling:

tupange bai ratiba ya mafundisho besti....lol!!

Noname dunia yetu hii tuishimo hiiii......wee acha tu!!
 
mi si kiswahili nimejifunzia shule sijui!

Yaani vibinti kama hivyo kwenye avatar yako dude lenye midevu yake livipe mimba? Hii thread ngoja niongee na invizibo aifute! LOL!
 
anza kuwapa somo mapema hivi, maana siku unafikiri ndio muda muafaka wao wameshafahamu mengi kama makungwi!
 
tupange bai ratiba ya mafundisho besti....lol!!

Noname dunia yetu hii tuishimo hiiii......wee acha tu!!

No kidding mie naona tumekuwa homo limitlessness ndo maana maisha yanakuwa magumu.... na hizi dini ndo zinatuwekea limits, mie nilishapata adabu yangu ikabidi ni rudi kwa mungu... yes I started talking God (dont ask me which God) because he is the same God the creator of the universe... sawa basi tupange ratiba... :smiling:
 
why should I ask wakati umeweka jibu zuri hapo mamii!!!

sawa tutapanga privately basi
 
Mimi ni mwanamke lakini wen it comes kwa issue kama hizi naunga mkono uchangiaji wa wanaume.. Wanawake tunasababisha yote haya wengi wa wanawake siku hizi wanaangalia kama mwanaume anacho ndio atataka kuolewa naye, starehe na material tumeweka mbele kuliko hata mapenzi na utu. Mimi sishangai kwa nini wanaume siku hizi wanasita kuoa. Wanawake tubadilike na hizi kitchen party ndio zinaponza kweli kweli mengi yanapatikana huko ni kudanganyana tu.
 
mmhmmh flexibility ya avatar yako imenipoteza na nimeshindwa kusoma post yako.........

I hate your avatar.....this is from the deepest part of my heart!!!

Jeez..., what is happening here? First it is the flexibility of the avatar, then it is hate...then? Any reasons?
 
huo uutupu mi ndo umenikwaza wala si flexibility
 
... yani hata kama mmeishi pamoja
Kama mmeishi nae bila kuoana anakuona wewe ni hood hoe, akuoe wa nini? Kama unagawa mpaka unamwambia ishi nayo, lala nayo, basi the status quo is working, aint gotta fix nothin, tena ni loop hole ya kutokea, akichoka nayo hana mkataba wala vifungo, ni kuanza na moto.
 
.........Wameishi miaka 10 pamoja,na wana watoto 4, hawa watakuwa wana ndoa ya kimila.Kuna sheria inasema kwamba watu mkiishi miaka 2 pamoja hii serikalini inajulikana ndoa tayari.Kama huyo mwanaume alimtolea mahari huyo mwanamke basi huyo mke wake halali kimila ndio maana mwanaume hana pressure.

.......Huyo mdada alikosea mwenyewe tokea mwanzo kukubali kwenda kuishi na mwanaume bila ndoa ya kidini...........hivyo inabidi awe mpole tu kama mume hataki kwenda kufunga ndoa kanisani.

........Kama anaona cheti cha ndoa muhimu sana inabidi amuongeleshe mumewe maneno matamu ili wakafunge ndoa ya serikalini ili wapate cheti...........vile vile awe mjanja ahakikishe vitu vyote walivyo navyo nazungumzia mali hapa waandike kwa majina yao wote wawili ili asije kugeukwa baadaye.
 
Sababu yaweza kuwa ni u chameleon unaaonyeshwa baada ya ndoa. Mtu akifikiria hayo anaweza amua awe anapata service za bila malipo maana nazo si zipo. Kama zikikosekana naamini watu wataoa bila kujari nini kitatokea mbele ya safari
 
wapendwa naomba mnisaidie kwa hili, kwanini wanaume ni waoga sana kuingia kwenye ndoa? yani hata kama mmeishi pamoja ikija kwenye suala la ndoa ni kupiga kalenda tu, ni kwanini inakua hivyo? je anakua hana mapenzi na mwenzi wake lakini anaendelea kudanganya kuwa anampenda?

...wala siwalaumu, wake waminifu wamepungua sana miaka hii.
 
.........Wameishi miaka 10 pamoja,na wana watoto 4, hawa watakuwa wana ndoa ya kimila.Kuna sheria inasema kwamba watu mkiishi miaka 2 pamoja hii serikalini inajulikana ndoa tayari.Kama huyo mwanaume alimtolea mahari huyo mwanamke basi huyo mke wake halali kimila ndio maana mwanaume hana pressure.

.......Huyo mdada alikosea mwenyewe tokea mwanzo kukubali kwenda kuishi na mwanaume bila ndoa ya kidini...........hivyo inabidi awe mpole tu kama mume hataki kwenda kufunga ndoa kanisani.

........Kama anaona cheti cha ndoa muhimu sana inabidi amuongeleshe mumewe maneno matamu ili wakafunge ndoa ya serikalini ili wapate cheti...........vile vile awe mjanja ahakikishe vitu vyote walivyo navyo nazungumzia mali hapa waandike kwa majina yao wote wawili ili asije kugeukwa baadaye.

Pretty cheti cha serikalini kipo! cha kanisani pia muhimu
 
Back
Top Bottom