Pretty cheti cha serikalini kipo! cha kanisani pia muhimu
wapendwa naomba mnisaidie kwa hili, kwanini wanaume ni waoga sana kuingia kwenye ndoa? yani hata kama mmeishi pamoja ikija kwenye suala la ndoa ni kupiga kalenda tu, ni kwanini inakua hivyo? je anakua hana mapenzi na mwenzi wake lakini anaendelea kudanganya kuwa anampenda?
OMG kumbe nilichangia bila kuisoma thread vizuri? Wanaume waoga kuingia kwenye ndoa? SI KWELI! SI KWELI KABISA.... Narudia tena SI KWELI KABISAAAAAAAA!
Ukweli ni kwamba wanaume HAWAPENDI au HAWATAKI kuingia kwenye ndoa lakini kuogopa SI KWELI. Nirudie tena?
Yani hata mie ananishangaza.Mbona Hata zile za kanisani wana makaratasi na mihuri inayotoka Serikalini?Yani mchungaji /padri/shehe hafungi ndoa mpaka apewe ruhusa maalumu na vyeti vya serikali.Sasa hapo anataka nini zaidi?Mom, kwa maoni yangu huyo mwanamke basi ni mpuuzi. Kama cheti tayari anacho na bado anamlazimisha baba wa watu mambo yake ya imani basi ana lake jambo. Mi toka mwanzo namwonea huruma kwamba labda hata paper hana, kumbe anataka mambo ya kijpendekeza kwa Paroko. Tena ukizingatia wachunga kondoo wenyewe ndo hawa wa siku hizi? Mmmhhh, kuna kitu anatafuta, ...hapo siyo bure kabisa. Kama huyo baba ningemwona basi ningemshauri kuwa akizidi kumlazimisha basi siku moja waende kwa Paroko na amchanie red kadi yake pale pale. Huyo mama ni nani hadi atake kushinda kila kitu? Amenikera sana!
OMG kumbe nilichangia bila kuisoma thread vizuri? Wanaume waoga kuingia kwenye ndoa? SI KWELI! SI KWELI KABISA.... Narudia tena SI KWELI KABISAAAAAAAA!
Ukweli ni kwamba wanaume HAWAPENDI au HAWATAKI kuingia kwenye ndoa lakini kuogopa SI KWELI. Nirudie tena?
Tena inapotokea kuna pressure zisizokuwa za msingi!
wapendwa naomba mnisaidie kwa hili, kwanini wanaume ni waoga sana kuingia kwenye ndoa? yani hata kama mmeishi pamoja ikija kwenye suala la ndoa ni kupiga kalenda tu, ni kwanini inakua hivyo? je anakua hana mapenzi na mwenzi wake lakini anaendelea kudanganya kuwa anampenda?
Kwa mujibu wa sheria zetu mwanamme na mwanamke wakikaa kama mume na mke kwa muda fulani (sikumbuki ni muda gani) inakuwa ni ndoa halali. Labda kama unafananisha ndoa na harusi au vile vyeti ambavyo unasaini kwa kasisi au serikalini.
wanaogopa Commitment za ndoa ..labda alizoea kujiachia kiaina anajua akioa hayo mambo ..hayo mambo yatapungua au kutoweka kabisa kwa asilimia kubwa.Wengine wanapenda kuwa na uhuru wa ujana ambao wamezoea kuwa nao hataki kubanwa ndani ya nyumba ..
wengine wanaogopa maswali kama haya
1.Mbona umechelewa kurudi ulikuwa wapi?
2.Shati lako mbona lina alama za lipstick ?
3.Ulinambia una miadi na Teamo mbona alikuwa hapa anakuulizia ?
4.
Habari za asubuhi FL1? Leo umeniudhi kweli. Wanaogopa? Nani kakudanganya wanaume wanaogopa? Sema HAWAPENDI MASWALI kama hayo siyo Wanaogopa.
Nimesemaje hapo FL1?
Hawapendi hawapendi hawapendi ..how are u today X-pin?
asanteni kwa kila aliechangia! lets close this topic and start something we can both enjoy!
Kwa kweli tunashukuru.Naona ofutopik zimezidi sana sasa na Chrispin anaongoza
ha ha ha!
wakuu bado mnadiskasi hii mambo?