Wanaume na ndoa!

Wanaume na ndoa!

mom basi tuseme kwa maneno mengine .....mama watoto ka evolve kawa mpenda/ mfata dini kwa kiasi wakati baba watoto bado.

hilo sasa nafikiri ni suala la kiimani zaidi na hapa tungeulizana namna ya mtu kumfanya mwandani wake kuamini kama anavyoamini yeye.
 
Pretty cheti cha serikalini kipo! cha kanisani pia muhimu

Mom, kwa maoni yangu huyo mwanamke basi ni mpuuzi. Kama cheti tayari anacho na bado anamlazimisha baba wa watu mambo yake ya imani basi ana lake jambo. Mi toka mwanzo namwonea huruma kwamba labda hata paper hana, kumbe anataka mambo ya kijpendekeza kwa Paroko. Tena ukizingatia wachunga kondoo wenyewe ndo hawa wa siku hizi? Mmmhhh, kuna kitu anatafuta, ...hapo siyo bure kabisa. Kama huyo baba ningemwona basi ningemshauri kuwa akizidi kumlazimisha basi siku moja waende kwa Paroko na amchanie red kadi yake pale pale. Huyo mama ni nani hadi atake kushinda kila kitu? Amenikera sana!
 
DC hata mie kanishangaza .....................maana mwanzo nilifikiri anaogopa asije kumwaga na hata cheti cha ndoa hana! kumbe bibie kawa na imani sasa baba mwenyee nyumba bado hana imakuwa tabu
 
wapendwa naomba mnisaidie kwa hili, kwanini wanaume ni waoga sana kuingia kwenye ndoa? yani hata kama mmeishi pamoja ikija kwenye suala la ndoa ni kupiga kalenda tu, ni kwanini inakua hivyo? je anakua hana mapenzi na mwenzi wake lakini anaendelea kudanganya kuwa anampenda?

OMG kumbe nilichangia bila kuisoma thread vizuri? Wanaume waoga kuingia kwenye ndoa? SI KWELI! SI KWELI KABISA.... Narudia tena SI KWELI KABISAAAAAAAA!

Ukweli ni kwamba wanaume HAWAPENDI au HAWATAKI kuingia kwenye ndoa lakini kuogopa SI KWELI. Nirudie tena?
 
Tena inapotokea kuna pressure zisizokuwa za msingi!
 
Mom, kwa maoni yangu huyo mwanamke basi ni mpuuzi. Kama cheti tayari anacho na bado anamlazimisha baba wa watu mambo yake ya imani basi ana lake jambo. Mi toka mwanzo namwonea huruma kwamba labda hata paper hana, kumbe anataka mambo ya kijpendekeza kwa Paroko. Tena ukizingatia wachunga kondoo wenyewe ndo hawa wa siku hizi? Mmmhhh, kuna kitu anatafuta, ...hapo siyo bure kabisa. Kama huyo baba ningemwona basi ningemshauri kuwa akizidi kumlazimisha basi siku moja waende kwa Paroko na amchanie red kadi yake pale pale. Huyo mama ni nani hadi atake kushinda kila kitu? Amenikera sana!
Yani hata mie ananishangaza.Mbona Hata zile za kanisani wana makaratasi na mihuri inayotoka Serikalini?Yani mchungaji /padri/shehe hafungi ndoa mpaka apewe ruhusa maalumu na vyeti vya serikali.Sasa hapo anataka nini zaidi?
 
OMG kumbe nilichangia bila kuisoma thread vizuri? Wanaume waoga kuingia kwenye ndoa? SI KWELI! SI KWELI KABISA.... Narudia tena SI KWELI KABISAAAAAAAA!

Ukweli ni kwamba wanaume HAWAPENDI au HAWATAKI kuingia kwenye ndoa lakini kuogopa SI KWELI. Nirudie tena?

Tena inapotokea kuna pressure zisizokuwa za msingi!

The Following User Says Thank You to Dark City For This Useful Post:
Chrispin (Today)
 
wapendwa naomba mnisaidie kwa hili, kwanini wanaume ni waoga sana kuingia kwenye ndoa? yani hata kama mmeishi pamoja ikija kwenye suala la ndoa ni kupiga kalenda tu, ni kwanini inakua hivyo? je anakua hana mapenzi na mwenzi wake lakini anaendelea kudanganya kuwa anampenda?

Kwa mujibu wa sheria zetu mwanamme na mwanamke wakikaa kama mume na mke kwa muda fulani (sikumbuki ni muda gani) inakuwa ni ndoa halali. Labda kama unafananisha ndoa na harusi au vile vyeti ambavyo unasaini kwa kasisi au serikalini.
 
Huyu anamaanisha hivyo; Kwa hapo nimekuzawadia hiki

The Following User Says Thank You to Tata For This Useful Post:
Chrispin (Today)
 
wanaogopa Commitment za ndoa ..labda alizoea kujiachia kiaina anajua akioa ..hayo mambo yatapungua au kutoweka kabisa kwa asilimia kubwa.Wengine wanapenda kuwa na uhuru wa ujana ambao wamezoea kuwa nao hataki kubanwa ndani ya nyumba ..
wengine wanaogopa maswali kama haya
1.Mbona umechelewa kurudi ulikuwa wapi?
2.Shati lako mbona lina alama za lipstick ?
3.Ulinambia una miadi na Teamo mbona alikuwa hapa anakuulizia ?
4.
 
wanaogopa Commitment za ndoa ..labda alizoea kujiachia kiaina anajua akioa hayo mambo ..hayo mambo yatapungua au kutoweka kabisa kwa asilimia kubwa.Wengine wanapenda kuwa na uhuru wa ujana ambao wamezoea kuwa nao hataki kubanwa ndani ya nyumba ..
wengine wanaogopa maswali kama haya
1.Mbona umechelewa kurudi ulikuwa wapi?
2.Shati lako mbona lina alama za lipstick ?
3.Ulinambia una miadi na Teamo mbona alikuwa hapa anakuulizia ?
4.

Habari za asubuhi FL1? Leo umeniudhi kweli. Wanaogopa? Nani kakudanganya wanaume wanaogopa? Sema HAWAPENDI MASWALI kama hayo siyo Wanaogopa.

Nimesemaje hapo FL1?
 
Hawapendi hawapendi hawapendi ..how are u today X-pin?
 
asanteni kwa kila aliechangia! lets close this topic and start something we can both enjoy!
 
ha ha ha!
wakuu bado mnadiskasi hii mambo?
 
Better to have a plain wife for yourself than a beautiful wife for others.

"I'm not afraid of storms, for I'm learning to sail my ship

"The Following User Says Thank You to Mom For This Useful Post:
Chrispin (Today)

:closed_2::closed_2::closed_2:
 
Back
Top Bottom