mhh leo umekaba kweli kweli, hata mie nachukia mwanamke anaejiweka kama nyanya za nyongeza! lakini hapa kashafanya kosa for 10yrs sasa anastahili jamani kamuelekeo kidogo, na huyo baba c kama ameridhika nae mpaka wapo hadi sasa!
zipi?? mbona haikupangwa na haraka ikageuka kuwa 10 yrs??? mie sijamhukumu mama lakini simtoi hatiani asilani. wote wana makosa lakini unadhani madhara makubwa ya hii kitu yanampata nani??
katika wote naona kama ww umeilewa zaidi post yangu, wengi wanalaumu zaidi mama bila kufikiria kuna circumstances zinachangia watu kuishi pamoja kwa matumaini watapanga ndoa ya haraka lakini mmoja anaamua kutoa sababu kila cku mpaka wanajikuta wamezoea hiyo hali na hata ndugu wansahau kama awana ndoa, wengi wanafikiri mama amekurupuka tu na kudai ndoa gafla
ofcourse yanampata zaidi mama, japo anakila raha ambayo mwanandoa ataitamani, hana amani na hili swala la ndoa, mwanzoni ndugu walihoji sana lakini wamamua kuwaacha!
yapo mambo mengi, hebu imagn ww ni binti hujamaliza shule, huna chochote cha kuweza kukufanya uishi mwenyewe then unapata ujauzito na wazazi wako wanamind sana to the extent baba anatamka hataki kukuona, na mwenye ujauzito ni mtu pekee unaweza kumkimbilia nae haoni shida anaamua lets move in mpaka tupange how to face ur parents then ndio inakuja kuwa hivi!
mamii kuna vitu vingine aaaaaaaaaah sijui nisemeje
sasa miaka kumi, jamaa hataki ndoa ya church, hata akimtishia kurudi kwao jamaa wala mshipa wa fahami hautamcheza.......ten gud yrs mmh!!! hata kama wasemega better late than never mi hapa nimechoka, mshaurini nyie bana!!! wamuite mchungaji labda!!
wapendwa naomba mnisaidie kwa hili, kwanini wanaume ni waoga sana kuingia kwenye ndoa? yani hata kama mmeishi pamoja ikija kwenye suala la ndoa ni kupiga kalenda tu, ni kwanini inakua hivyo? je anakua hana mapenzi na mwenzi wake lakini anaendelea kudanganya kuwa anampenda?
it all starts from doing smthing we are not supposed to................matokeo yake huwa mabaya!!
anyways sasa naona ntaanza kwenda ofutopiki kwa kuwavaa hao wazazi!!!
dah ngoja nijiburekishe kwanza aisee
pole yake
it all starts from doing smthing we are not supposed to................matokeo yake huwa mabaya!!
anyways sasa naona ntaanza kwenda ofutopiki kwa kuwavaa hao wazazi!!!
dah ngoja nijiburekishe kwanza aisee
pole yake
Kosa wanalofanya wanawake ni kuamua kuishi pamoja na mwanaume kabla ya ndoa. Kama unaweza kukamua maziwa nyumbani kwako bila kulipa chochote kwa nini uende kwa jirani ukanunue maziwa yale yale?
ngoja tuwachallenge wazazi hapa, hasa wale wenye mabinti, ikitokea binti yako kapata ujauzito kabla ya ndoa utafanyaje?
zipi?? mbona haikupangwa na haraka ikageuka kuwa 10 yrs??? mie sijamhukumu mama lakini simtoi hatiani asilani. wote wana makosa lakini unadhani madhara makubwa ya hii kitu yanampata nani??
Nimefunikwa na Damu ya Yesu! I have protections
Ningkuwa mimi ningemchunguza kwanza huyu kijana wa kiume kama anafaa kuwa mume wa binti yangu,nikiona anafaa nitafanya negotiations za ndoa.Akikubali basi namwozesha binti yangu.Lakini kama hafai huyu kijana namlea binti yangu na mjukuu pamoja na kumpa darasa lisitokee tena hilo na kumwandaa ili apate mume bora badae.
Damu ya Yesu inazuia PM? kwani PM ni mbaya?
haya charity mi cna jibu naomba Mungu apishilie mbali, ila ikitokea ctamfukuza kamwe
Shikamoo! I mic u so much.here are currently 43 users browsing this thread. (13 members and 30 guests)
Chrispin* Gaijin Masaki Nyamayao+ Shilla Charity+ Mom mchajikobe KomrediKipepe Nasolwa Joss Johas ZUTU
Kumbe mmejificha hapa siyo? Haya twende kazi
here are currently 43 users browsing this thread. (13 members and 30 guests)
Chrispin* Gaijin Masaki Nyamayao+ Shilla Charity+ Mom mchajikobe KomrediKipepe Nasolwa Joss Johas ZUTU
Kumbe mmejificha hapa siyo? Haya twende kazi