bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
mhh leo umekaba kweli kweli, hata mie nachukia mwanamke anaejiweka kama nyanya za nyongeza! lakini hapa kashafanya kosa for 10yrs sasa anastahili jamani kamuelekeo kidogo, na huyo baba c kama ameridhika nae mpaka wapo hadi sasa!
mamii kuna vitu vingine aaaaaaaaaah sijui nisemeje
sasa miaka kumi, jamaa hataki ndoa ya church, hata akimtishia kurudi kwao jamaa wala mshipa wa fahami hautamcheza.......ten gud yrs mmh!!! hata kama wasemega better late than never mi hapa nimechoka, mshaurini nyie bana!!! wamuite mchungaji labda!!