Wanaume na ndoa!

Wanaume na ndoa!

mhh leo umekaba kweli kweli, hata mie nachukia mwanamke anaejiweka kama nyanya za nyongeza! lakini hapa kashafanya kosa for 10yrs sasa anastahili jamani kamuelekeo kidogo, na huyo baba c kama ameridhika nae mpaka wapo hadi sasa!

mamii kuna vitu vingine aaaaaaaaaah sijui nisemeje

sasa miaka kumi, jamaa hataki ndoa ya church, hata akimtishia kurudi kwao jamaa wala mshipa wa fahami hautamcheza.......ten gud yrs mmh!!! hata kama wasemega better late than never mi hapa nimechoka, mshaurini nyie bana!!! wamuite mchungaji labda!!
 
zipi?? mbona haikupangwa na haraka ikageuka kuwa 10 yrs??? mie sijamhukumu mama lakini simtoi hatiani asilani. wote wana makosa lakini unadhani madhara makubwa ya hii kitu yanampata nani??

ofcourse yanampata zaidi mama, japo anakila raha ambayo mwanandoa ataitamani, hana amani na hili swala la ndoa, mwanzoni ndugu walihoji sana lakini wamamua kuwaacha!

yapo mambo mengi, hebu imagn ww ni binti hujamaliza shule, huna chochote cha kuweza kukufanya uishi mwenyewe then unapata ujauzito na wazazi wako wanamind sana to the extent baba anatamka hataki kukuona, na mwenye ujauzito ni mtu pekee unaweza kumkimbilia nae haoni shida anaamua lets move in mpaka tupange how to face ur parents then ndio inakuja kuwa hivi!
 
katika wote naona kama ww umeilewa zaidi post yangu, wengi wanalaumu zaidi mama bila kufikiria kuna circumstances zinachangia watu kuishi pamoja kwa matumaini watapanga ndoa ya haraka lakini mmoja anaamua kutoa sababu kila cku mpaka wanajikuta wamezoea hiyo hali na hata ndugu wansahau kama awana ndoa, wengi wanafikiri mama amekurupuka tu na kudai ndoa gafla

mwanamke alifanya kosa la kuhamia huko kabla ya kuhalalishwa, na hili ndio lina mcost kwa sasa, ndio nasema bac huyu baba amfikirie mzazi mwenzie kwasasa na waamue kufunga hiyo ndoa, lakini nitabakia pale pale kuwa huyu mama alijichezea rafu...hapa ni neema/huruma ya huyu baba itendeke kunusuru 10 ysr kumwagika chini.
 
ofcourse yanampata zaidi mama, japo anakila raha ambayo mwanandoa ataitamani, hana amani na hili swala la ndoa, mwanzoni ndugu walihoji sana lakini wamamua kuwaacha!

yapo mambo mengi, hebu imagn ww ni binti hujamaliza shule, huna chochote cha kuweza kukufanya uishi mwenyewe then unapata ujauzito na wazazi wako wanamind sana to the extent baba anatamka hataki kukuona, na mwenye ujauzito ni mtu pekee unaweza kumkimbilia nae haoni shida anaamua lets move in mpaka tupange how to face ur parents then ndio inakuja kuwa hivi!

it all starts from doing smthing we are not supposed to................matokeo yake huwa mabaya!!
anyways sasa naona ntaanza kwenda ofutopiki kwa kuwavaa hao wazazi!!!

dah ngoja nijiburekishe kwanza aisee

pole yake
 
mamii kuna vitu vingine aaaaaaaaaah sijui nisemeje

sasa miaka kumi, jamaa hataki ndoa ya church, hata akimtishia kurudi kwao jamaa wala mshipa wa fahami hautamcheza.......ten gud yrs mmh!!! hata kama wasemega better late than never mi hapa nimechoka, mshaurini nyie bana!!! wamuite mchungaji labda!!

atatenda kosa la mwaka...na akute jamaa kakamata kimada huko, ndio kabisa kitahamishiwa ndani...lakini hii mistake ni ya kila mara kwa wadada na cjui kwanini watu hawajifunzi kutokana na makosa....
 
wapendwa naomba mnisaidie kwa hili, kwanini wanaume ni waoga sana kuingia kwenye ndoa? yani hata kama mmeishi pamoja ikija kwenye suala la ndoa ni kupiga kalenda tu, ni kwanini inakua hivyo? je anakua hana mapenzi na mwenzi wake lakini anaendelea kudanganya kuwa anampenda?

Kosa wanalofanya wanawake ni kuamua kuishi pamoja na mwanaume kabla ya ndoa. Kama unaweza kukamua maziwa nyumbani kwako bila kulipa chochote kwa nini uende kwa jirani ukanunue maziwa yale yale?
 
it all starts from doing smthing we are not supposed to................matokeo yake huwa mabaya!!
anyways sasa naona ntaanza kwenda ofutopiki kwa kuwavaa hao wazazi!!!

dah ngoja nijiburekishe kwanza aisee

pole yake

Nashauri huyo mama akae kimyaaaaa! Amwombe tu Mungu amshushie limbwata la miujiza ili jamaa lijipeleke lenyewe kwa Paroko. Vinginevyo sioni kama anazo silaha zaidi za kutumia. Hata Charity akimwazima zinaweza zisimsaidie.
 
it all starts from doing smthing we are not supposed to................matokeo yake huwa mabaya!!
anyways sasa naona ntaanza kwenda ofutopiki kwa kuwavaa hao wazazi!!!

dah ngoja nijiburekishe kwanza aisee

pole yake

ngoja tuwachallenge wazazi hapa, hasa wale wenye mabinti, ikitokea binti yako kapata ujauzito kabla ya ndoa utafanyaje?
 
Kosa wanalofanya wanawake ni kuamua kuishi pamoja na mwanaume kabla ya ndoa. Kama unaweza kukamua maziwa nyumbani kwako bila kulipa chochote kwa nini uende kwa jirani ukanunue maziwa yale yale?

Usilaumu sana wanawake.Mara nyingine ni mazingira huwa yanakuwa ni magumu japo kwa kiasi fulani ni ujinga wa wanawake!
 
ngoja tuwachallenge wazazi hapa, hasa wale wenye mabinti, ikitokea binti yako kapata ujauzito kabla ya ndoa utafanyaje?

Ningkuwa mimi ningemchunguza kwanza huyu kijana wa kiume kama anafaa kuwa mume wa binti yangu,nikiona anafaa nitafanya negotiations za ndoa.Akikubali basi namwozesha binti yangu.Lakini kama hafai huyu kijana namlea binti yangu na mjukuu pamoja na kumpa darasa lisitokee tena hilo na kumwandaa ili apate mume bora badae.
 
zipi?? mbona haikupangwa na haraka ikageuka kuwa 10 yrs??? mie sijamhukumu mama lakini simtoi hatiani asilani. wote wana makosa lakini unadhani madhara makubwa ya hii kitu yanampata nani??

wewe ukishaingia ndani na tena na mimba juu, maamuzi yanamuhusu baba, hapo alishacheza rafu na ndio mana mpaka leo bado anazungushwa, ..lakini hii rafu yake baba hawezi ipotezea akakubali hiyo ndoa?
 
mie niltalitizama kwa angle nyengine hili suala ............

kuna wanawake wanaishi na wanaume kwa sababu za kimazingira labda ujauzito ambao hakuutarajia, au kajuulikana kwao (hasa akiwa mschana mdogo) kuwa ana mwanamme, akatimuliwa.....

mimi nnahisi kwanza tanzania mimba sizizopangwa zipo nyingi kupita kiasi..................hebu na tuanze hapo kwanza
tuwafunze wasichana not to have sex mpaka wawe wanajua matokeo yake
kama uko tayari kuingia kwenye tendo.................use protection. kutumia condom kila siku muhali kwa mwanamme atleast basi kula dawa za kuzuwia mimba.

afadhali huyo alopata mimba karuhusiwa kukaa kwa mwanamme ........kuna wengine inawabidi wakatoe uchochoroni

jamani jamani huu mpango wa kupenda sex bila kujua consequences zake ni mbaya mno....tujirekebishe
 
Ningkuwa mimi ningemchunguza kwanza huyu kijana wa kiume kama anafaa kuwa mume wa binti yangu,nikiona anafaa nitafanya negotiations za ndoa.Akikubali basi namwozesha binti yangu.Lakini kama hafai huyu kijana namlea binti yangu na mjukuu pamoja na kumpa darasa lisitokee tena hilo na kumwandaa ili apate mume bora badae.

haya charity mi cna jibu naomba Mungu apishilie mbali, ila ikitokea ctamfukuza kamwe
 
here are currently 43 users browsing this thread. (13 members and 30 guests)
Chrispin* Gaijin Masaki Nyamayao+ Shilla Charity+ Mom mchajikobe KomrediKipepe Nasolwa Joss Johas ZUTU

Kumbe mmejificha hapa siyo? Haya twende kazi
 
mom .......mama yangu ana theory moja, labda na mie naweza itumie baadae

anasema ukimuendea na mimba hata kama ndo kwanza mwezi mmoja na mwanamme akasema anataka akuoe .....................yeye hakupi ridhaa yake, mpaka uzae mtoto kwanza ndo muoane.........ndoa na mimba haitambui 😀
 
here are currently 43 users browsing this thread. (13 members and 30 guests)
Chrispin* Gaijin Masaki Nyamayao+ Shilla Charity+ Mom mchajikobe KomrediKipepe Nasolwa Joss Johas ZUTU

Kumbe mmejificha hapa siyo? Haya twende kazi
Shikamoo! I mic u so much.
 
here are currently 43 users browsing this thread. (13 members and 30 guests)
Chrispin* Gaijin Masaki Nyamayao+ Shilla Charity+ Mom mchajikobe KomrediKipepe Nasolwa Joss Johas ZUTU

Kumbe mmejificha hapa siyo? Haya twende kazi

XPin, mambo? eti kabinti yako kakipata mimba wakati bado yupo chini ya himaya yako utafanyaje? au utachukua hatua gani?

by the way nimepnda sana signature yako!
 
Back
Top Bottom