Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,772 Reaction score 22,598 Aug 4, 2023 #1 Habari, Husikia na kichwa cha habari hapo juu, Kumekuwa na fashoni fulani la wanaume kuachia midevu kama wehu. Hii fashion Kuna wenye kipilipili originali Hawa wanakuwa kama wehu. Yaani Kuna wanaopendeza kama nini maana sura zao zinachangia... Kuna wengine wamekuwa kama wachafu Fulani hivi yaani wachandevu... Wanaume mnanini lakini...
Habari, Husikia na kichwa cha habari hapo juu, Kumekuwa na fashoni fulani la wanaume kuachia midevu kama wehu. Hii fashion Kuna wenye kipilipili originali Hawa wanakuwa kama wehu. Yaani Kuna wanaopendeza kama nini maana sura zao zinachangia... Kuna wengine wamekuwa kama wachafu Fulani hivi yaani wachandevu... Wanaume mnanini lakini...
Dr Ahmed Albah-Shahwa JF-Expert Member Joined Apr 12, 2022 Posts 848 Reaction score 1,604 Aug 4, 2023 #2 Tusipangiane maisha, mtoa mada amelowaaaaaaaaaa amelowaaa amenyeshewa na mvua amelowa amelowaa amenyeshewa na mvua X5
Tusipangiane maisha, mtoa mada amelowaaaaaaaaaa amelowaaa amenyeshewa na mvua amelowa amelowaa amenyeshewa na mvua X5
K11 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2014 Posts 3,447 Reaction score 11,274 Aug 4, 2023 #3 Tuna majukumu mengi ya kufanya kuliko kufikiria vitu vidogo kama ndevu
Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,772 Reaction score 22,598 Aug 4, 2023 Thread starter #4 Dr Ahmed Albah-Shahwa said: Tusipangiane maisha, mtoa mada amelowaaaaaaaaaa amelowaaa amenyeshewa na mvua amelowa amelowaa amenyeshewa na mvua X5 Click to expand... Naona midevu ilivyokuchachamaa kama pilipili manga...
Dr Ahmed Albah-Shahwa said: Tusipangiane maisha, mtoa mada amelowaaaaaaaaaa amelowaaa amenyeshewa na mvua amelowa amelowaa amenyeshewa na mvua X5 Click to expand... Naona midevu ilivyokuchachamaa kama pilipili manga...
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Aug 4, 2023 #5 Wewe unatakaje ?
Dr Ahmed Albah-Shahwa JF-Expert Member Joined Apr 12, 2022 Posts 848 Reaction score 1,604 Aug 4, 2023 #6 Donatila said: Naona midevu ilivyokuchachamaa kama pilipili manga... Click to expand... Ni mwendo wa madevu tu hamna kuyachana wala nini tena kama ni kuyachana ni na vidole tu hamna hata haja ya chanuo
Donatila said: Naona midevu ilivyokuchachamaa kama pilipili manga... Click to expand... Ni mwendo wa madevu tu hamna kuyachana wala nini tena kama ni kuyachana ni na vidole tu hamna hata haja ya chanuo
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Aug 4, 2023 #7 Emu njoo ushike shike huu uchebe wangu mtoto uache malalamiko kisa bebi wako hana uchebe
Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,772 Reaction score 22,598 Aug 4, 2023 Thread starter #8 Dr Ahmed Albah-Shahwa said: Ni mwendo wa madevu tu hamna kuzichana wala nini tena nikuzichana na vidole tu hamna hata haja ya chanuo Click to expand... Midevu ya kipilipili originali unamaanisha[emoji1787][emoji1787]
Dr Ahmed Albah-Shahwa said: Ni mwendo wa madevu tu hamna kuzichana wala nini tena nikuzichana na vidole tu hamna hata haja ya chanuo Click to expand... Midevu ya kipilipili originali unamaanisha[emoji1787][emoji1787]
C chotera JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 6,560 Reaction score 15,864 Aug 4, 2023 #9 Ndevu ni ishara ya mamlaka, acha watu wafuge tu
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 12,679 Reaction score 25,646 Aug 4, 2023 #10 tulia wewe hujui kazi ya fagio. mwanaume unakuwa vipi na kidevu kama titi
Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,772 Reaction score 22,598 Aug 4, 2023 Thread starter #11 fundi bishoo said: Emu njoo ushike shike huu uchebe wangu mtoto uache malalamiko kisa bebi wako hana uchebe Click to expand... Usiongee kwanguvu bana, punguza sauti [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wasisikie
fundi bishoo said: Emu njoo ushike shike huu uchebe wangu mtoto uache malalamiko kisa bebi wako hana uchebe Click to expand... Usiongee kwanguvu bana, punguza sauti [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wasisikie
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Aug 4, 2023 #12 Ndevu ni sunnah kwa mwanaume Ndo uanaume lazima kidevu kikae unyama Sasa mwanaume uwe na kidevu kizuri cha nini
Ndevu ni sunnah kwa mwanaume Ndo uanaume lazima kidevu kikae unyama Sasa mwanaume uwe na kidevu kizuri cha nini
TheChoji JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 5,771 Reaction score 17,849 Aug 4, 2023 #13 chotera said: Ndevu ni ishara ya mamlaka, acha watu wafuge tu Click to expand... Hamna lolote
Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,772 Reaction score 22,598 Aug 4, 2023 Thread starter #14 chotera said: Ndevu ni ishara ya mamlaka, acha watu wafuge tu Click to expand... Kumbe, waziweke zikae vizuri sasa
chotera said: Ndevu ni ishara ya mamlaka, acha watu wafuge tu Click to expand... Kumbe, waziweke zikae vizuri sasa
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Aug 4, 2023 #15 Acheni watu waishi maisha yao...
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Aug 4, 2023 #16 π€£πππ ππππππππ π π ππ€£πππ ππππTukukute Central Kwa Muliro Chap
π€£πππ ππππππππ π π ππ€£πππ ππππTukukute Central Kwa Muliro Chap
F Fardbrave Member Joined Aug 4, 2023 Posts 10 Reaction score 12 Aug 4, 2023 #17 Ndo style ya mjini now
Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,772 Reaction score 22,598 Aug 4, 2023 Thread starter #18 ngara23 said: Ndevu ni sunnah kwa mwanaume Ndo uanaume lazima kidevu kikae unyama Sasa mwanaume uwe na kidevu kizuri cha nini Click to expand... Kunatofauti ya ndevu na midevu ujue
ngara23 said: Ndevu ni sunnah kwa mwanaume Ndo uanaume lazima kidevu kikae unyama Sasa mwanaume uwe na kidevu kizuri cha nini Click to expand... Kunatofauti ya ndevu na midevu ujue
Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,772 Reaction score 22,598 Aug 4, 2023 Thread starter #19 Watu8 said: Acheni watu waishi maisha yao... Click to expand... Wanatisha sasa kaka zetu wanakuwa kama wehu ..
Watu8 said: Acheni watu waishi maisha yao... Click to expand... Wanatisha sasa kaka zetu wanakuwa kama wehu ..
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Aug 4, 2023 #20 Mmeacha hela mmeamia kwenye ndevu...!!