Wanaume na style ya kufuga ndevu

Wanaume na style ya kufuga ndevu

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
Habari,

Husikia na kichwa cha habari hapo juu,

Kumekuwa na fashoni fulani la wanaume kuachia midevu kama wehu.

Hii fashion Kuna wenye kipilipili originali Hawa wanakuwa kama wehu.

Yaani Kuna wanaopendeza kama nini maana sura zao zinachangia...

Kuna wengine wamekuwa kama wachafu Fulani hivi yaani wachandevu...

Wanaume mnanini lakini...
 
Back
Top Bottom