Wanaume na style ya kufuga ndevu

Wanaume na style ya kufuga ndevu

Mtuponze wenyewe,mtushushue wenyewe Rizikeni basiii
images (75).jpeg
 
Habari,

Husikia na kichwa cha habari hapo juu,

Kumekuwa na fashoni fulani la wanaume kuachia midevu kama wehu.

Hii fashion Kuna wenye kipilipili originali Hawa wanakuwa kama wehu.

Yaani Kuna wanaopendeza kama nini maana sura zao zinachangia...

Kuna wengine wamekuwa kama wachafu Fulani hivi yaani wachandevu...

Wanaume mnanini lakini...
Unataka wanaume utakaokua unagombea nao dressing table?
 
Mkuu una hoja hebu sindikiza na kapicha basi tuone zilizo katika mpangilio mzuri.
Kitu chochote kisipokua katika mpangilio ni uchafu
 
Back
Top Bottom