Snowpiercer
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 2,358
- 4,263
Ndevu hizo hizo ndizo zinakuchoma choma mpaka unasisimka, unazichezea chezea wee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MnatuchanganyaLeo ni midevu tuu, pesa baadaaae!
Kumbe, waziweke zikae vizuri sasa
Huyu kazichana...Mtuponze wenyewe,mtushushue wenyewe Rizikeni basiiiView attachment 2708551
Unataka wanaume utakaokua unagombea nao dressing table?Habari,
Husikia na kichwa cha habari hapo juu,
Kumekuwa na fashoni fulani la wanaume kuachia midevu kama wehu.
Hii fashion Kuna wenye kipilipili originali Hawa wanakuwa kama wehu.
Yaani Kuna wanaopendeza kama nini maana sura zao zinachangia...
Kuna wengine wamekuwa kama wachafu Fulani hivi yaani wachandevu...
Wanaume mnanini lakini...
Huyu kazichana...
Sio kipilipili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wapo wanaziangalia na kuzipenda...
Ila sio hizi za style ya mwehu
We Zombie Na Simba la ma Simba DangoteKumekuwa na fashoni fulani la wanaume kuachia midevu kama wehu.
Ya ndio maana yake we unadhani ni singa singa pili pili hii unayoijua wewe kama unaona raha kunyoa na wewe nyoa zako.Midevu ya kipilipili originali unamaanisha[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] asanteee ..Yani kama ZombieWe Zombie Na Simba la ma Simba Dangote View attachment 2708553