Wanaume na suala la kuhonga

Oya we kenge usi haribu chama Cha kATAA ndoa😆🤣
 
nusu saa iliyopita nimekutana na rafiki wa kitambo basi tukasogea dukani nikamnunulia soda..... kanywa kamaliza nikamsindikiza hatua kadhaa wakati narudi aliepo dukani kanistua ananiambia naona unahonga soda 😂😂😂 dah nimecheka sana yeye mwenyewe ananiomba soda mara kibao na ninampa sasa nikamuuliza je na ww nakuhongaga mwishoe nikajikuta namwambia mimba isikutie wazimu maana ana mimba ya kasela kake hakajiwezi na hakataki kufanya kazi nimecheka sana asee hata ukarimu sikuhizi inaitwa kuhonga..
 
Hapo kwenye hisia ndyo changamoto...ila kama feeling is mutual basi haina budi kuhudumiana
Si mpaka izo feeling ziwe mutual😁 wanaume wengi sahivi tumegundua kuwa mwanamke akipenda, the last thing kwenye akili yake ni kukuomba pesa, mkipendana mambo ya kuhudumiana kipesa yanakuja automatically, lakini sadly that's not a reality in many relationships.

Couples wengi sahivi utakuta mwanaume anahudumia wee ila mdada hachangii chochote kwenye uhusiano, Yuko tu afaidike kipesa kwenye huo uhusiano, au mdada anajitoa kwenye uhusiano, ila mwanaume hawekezi chochote hata sh 500, kwa huyo mdada, zaidi ya kutafta utelezi wa bure.

Kwenye ndoa zingine mke ana kazi mume ana kazi, mke hachangii chochote kwenye familia, hela ya mke na sehemu ya hela mume, inaenda kumjengea nyumba na kumhonga mwanaume mwingine anaependwa, inauma sana Missy Gf Mama Mwana
 
huo ndio ubaya yan unafikia hatua badala hela umsaidie mwenzio aliekupa heshima ya ndoa mana wanawake ni wengi nje mpaka ukaolewa ww utambue kuna kitu ameona kwako badala msaidiane kwenye shida na raha unaenda honga kiben ten
 
mwanamke anayeshindwa kusaidiana na mumewe ikawa hela yake haionekani kiuhalisia ana roho mbaya huyu mwanamke hafai kwa matumizi ya familia na ukute ndio baba alipendea tako na sura
Ila nyie dada zangu mdaa huu nipo kwenye mgahawa napata chakula cha mchana kuna pisi mbili kali,zipo na vibabu vyao. Kuna mmoja naona wanaongea ila binti kama ana aibu kumtizama,yaani hayupo comfortable kabisa.

Kweli mmetumwa hela.
 


Pumbavu kabisa, utafikiri wana maana au kustahili kupata huo upendeleo.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…