Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
- Thread starter
- #41
mwanamke anayeshindwa kusaidiana na mumewe ikawa hela yake haionekani kiuhalisia ana roho mbaya huyu mwanamke hafai kwa matumizi ya familia na ukute ndio baba alipendea tako na suraWanawake wengi wenu siku hizi mnaakiri kama za watoto wadogo,kuna mwanamke anataka Sumsung wakati mme wake uwezo wake ni Techno na hapo unakuta huyo mume wake kamkuta anatumia iTel.
Ila wapo wanawake (wachache),wana uwezo wa kuadapt hali za uchumi za wenza wao na hata kusaidia mchango wa MAWAZO tu kuboost hali ya uchumi wa mwenzi wake na wengine hata kutoa msaada kidogo ili kumboost mwenza wake.
Kuna wanawake wengine mwenza wake anapopitia hali mbaya ya kiuchumi ndipo kelele zinaanza,masimango ,manyanyaso,kiburi nk anasahahu hata lile good life alilopewa na mmewe,kwa miaka mingi tu na kumvumilia kwa kumfariji na kumpatia msaada hata wa kimawazo.