Wanaume na suala la kuhonga

Wanaume na suala la kuhonga

Wanawake wengi wenu siku hizi mnaakiri kama za watoto wadogo,kuna mwanamke anataka Sumsung wakati mme wake uwezo wake ni Techno na hapo unakuta huyo mume wake kamkuta anatumia iTel.

Ila wapo wanawake (wachache),wana uwezo wa kuadapt hali za uchumi za wenza wao na hata kusaidia mchango wa MAWAZO tu kuboost hali ya uchumi wa mwenzi wake na wengine hata kutoa msaada kidogo ili kumboost mwenza wake.

Kuna wanawake wengine mwenza wake anapopitia hali mbaya ya kiuchumi ndipo kelele zinaanza,masimango ,manyanyaso,kiburi nk anasahahu hata lile good life alilopewa na mmewe,kwa miaka mingi tu na kumvumilia kwa kumfariji na kumpatia msaada hata wa kimawazo.
mwanamke anayeshindwa kusaidiana na mumewe ikawa hela yake haionekani kiuhalisia ana roho mbaya huyu mwanamke hafai kwa matumizi ya familia na ukute ndio baba alipendea tako na sura
 
iyo sehemu unayosema ya kutolea stress kwa miaka ya hivi karibuni imekua ni Hatari sana kwa Afya yako mwenyewe na mwanaume maana maradhi yamekua mengi sana na kwa ushauri wa bure kama unaipenda sana iyo sehemu yako kaipime saratani ya mrango wa kizazi ukikuta ipo sawa jipongeze kwa vinjwaji Baridi maana hii kitu ni moja wa aidu yenu mkubwa sana wanawake kwa sasa
 
Roho mbaya haina uhusiano na mwonekano wala uzuri wa binti sababu,ni ipo ndani ya mtu.

Hivi vitu hujengwa na mazingira aliyo kulia binti na malezi kutoka kwa wazazi wake.
 
Hapa umeongea point kubwa sana ambayo ndo chanzo cha baadhi ya sisi wanaume kuonekana wabahili kwa hawa wanawake wasio offer chochote zaidi ya sex 🤞.
na wanawake wengi wasiojua maisha huwaza vitu vya kupita na maisha hayataki hivyo ni vyema kama sote tunafanya kaz au wataftaji tuwsibike sote ila kuna wanume nao unaweza jitoa mno kwake na yeye asijiongeze hawa pia wapo
 
iyo sehemu unayosema ya kutolea stress kwa miaka ya hivi karibuni imekua ni Hatari sana kwa Afya yako mwenyewe na mwanaume maana maradhi yamekua mengi sana na kwa ushauri wa bure kama unaipenda sana iyo sehemu yako kaipime saratani ya mrango wa kizazi ukikuta ipo sawa jipongeze kwa vinjwaji Baridi maana hii kitu ni moja wa aidu yenu mkubwa sana wanawake kwa sasa
katika swala ninalojali ni afya yangu kwa ujumla hivo nikuambie tu siumwi hio kitu
 
na wanawake wengi wasiojua maisha huwaza vitu vya kupita na maisha hayataki hivyo ni vyema kama sote tunafanya kaz au wataftaji tuwsibike sote ila kuna wanume nao unaweza jitoa mno kwake na yeye asijiongeze hawa pia wapo
Hakika,, na hapa ndo palipo na vilio vya wengi,,, swali la kujiuliza ni vipi utampata huyo mtu sahihi kwako????
 
Roho mbaya haina uhusiano na mwonekano wala uzuri wa binti sababu,ni ipo ndani ya mtu.

Hivi vitu hujengwa na mazingira aliyo kulia binti na malezi kutoka kwa wazazi wake.
nakataa, mwanamke mwema hawez muacha bwana wake akahangaika peke yake kuhuumia familia wakat uwezo anao
 
Huyo mwema nilimwelezea kwenye paragraph ya pili, hila hamna uhusiano wa roho mbaya ya binti na mwonekano wake wake wa umbo au sura.

Vitu vinavyo tuzungunga na malezo vina impact kubwa sana kwa makuzi ya binadamu yoyote.
 
Kama hutaki kuombwa pesa au kutoa kwa hiari achana na mapenzi
 
hawa wanawake wasio na huruma mnawaokota wapi?
Hao wanawake wasio na huruma wako wengi tu mbona, unajua shida sio sisi kuwapa hela, pia ninyi kutuomba hela sio shida, wanaume by nature tunapenda kuwapa hela wadada tunaowapenda, shida ni kuwa wanawake wengi hamna hisia za kimapenzi na sisi, na hela zetu mnazitaka, hivyo mwanaume unahisi you're being used & exploited, hapo ndo vilio vingi vya wanaume kuhusu kuhonga ndo vinaanzia Mama Mwana
 
Kama hutaki kuombwa pesa au kutoa kwa hiari achana na mapenzi
Shida kubwa sio ninyi kuomba hela, tunapenda kuwapa hela, ila tatizo ni kuwa wanawake wengi mnatuomba hela, halafu hamna hisia na sisi, mwanaume unahisi hapa nafanywa boya, nakuwa used & exploited,shida na vilio vya wanaume ndo vinaanzia hapo Missy Gf
 
Hapo kwenye hisia ndyo changamoto...ila kama feeling is mutual basi haina budi kuhudumiana
 
Hao wanawake wasio na huruma wako wengi tu mbona, unajua shida sio sisi kuwapa hela, pia ninyi kutuomba hela sio shida, wanaume by nature tunapenda kuwapa hela wadada tunaowapenda, shida ni kuwa wanawake wengi hamna hisia za kimapenzi na sisi, na hela zetu mnazitaka, hivyo mwanaume unahisi you're being used & exploited, hapo ndo vilio vingi vya wanaume kuhusu kuhonga ndo vinaanzia Mama Mwana
kumbe shidabni hii
 
Kama hutaki kuombwa pesa au kutoa kwa hiari achana na mapenzi
hao wadada wanaomba omba pesa na hawana hisia na majamaa ndio wanatuponza ndio mana tunauliwa kila kukicha kwa tama zetu wenyewe
 
Back
Top Bottom