Wanaume na Wanawake mnishauri mi mwenzenu nakosea wapi? Nifanye nini? Mbona nakutana na mabalaa hivi?

Ndio maana vijana siku hizi hatuoi. Tunazalisha tunalea watoto tu. Mwanamke njaa njaa namna hiyo ukisema umuweke ndani hakuna rangi utaacha kuona. Ndio hao ukifulia chap anamrudia bwana ake wa zamani [emoji706]
Kwahiyo ukizalisha unaleaje wakati elfu 10 ya yeye kula huna?
 
Kuna wakati unatakiwa umsaidie mwanamke kama binadamu wa kawaida pasipo any consideration in return
 
Uchumi umepasua kwenye uwekezaji mpaka mtu mmoja mmoja tusaidiane tu, vizinga vinaimarisha misuli ya kupambana na uchumi wa kati japo
 
inaonekana uko na standard flan kwahiyo mwanmke wa ushwahilini anahis wewe una pesa sana wakati wewe ni wa kawaida.

Soln la hilo jambo ni kutafuta mwanamke wa hadhi yako ambae ni smart kuwa makini asiwe slay queen

Mapenzi ya dhati hayapo kwa Mwanamke mwenye dhiki
 
Sasa wewe unafikiri hizo hips na matako vipo hapo kwa bahati mbaya. Unadhani hakutumia fedha kutunisha hivyo vitu alafu wewe unataka mserereko. Toa pesa wewe mtoto wa kiume acha kulialia, unadhani humu watakupa mchango ili ukaendeleze uzinzi.
Sasa hivyo vitu ni vyake nami mpaka sasa sijazungumzia kama nipo inteeested navyo .
 
Daah....hiii ni changamoto. Nlipata mpaka branch manager mmoja bank flani posta. Anataka meetings zetu ziwe Serena Hotel kila wakati. Mara ya kwanza ya pili. Nikamwambia No. Siwezi. Wakati chakula chake mwenyewe anakula Black/Brakepoint. Ila cha offer anataka Serena. Siku hizi amerudi ananilalamikia namkwepa. Namchunia....
 
Mwenzako ana njaa hata ka 20k tu si ungemtoa she needs your financial support
Hana akili. Ameenda Arusha kutembea anakosa pesa ya kula? Angekaa home aniambie hana pesa ya kula hamna wateja ofisini ngemwelewa.
 
Kijana, Mtumie hiyo hela anayotaka alaf mkaushie kabisa yaani mfute ktk akili, mie ndio nafanya hivyo siku zote. Mpe hela then pita kushoto bila kuomba game hii itamtesa sana.

Sasa awe anajua kuteseka basi, kuna wengine kavuuu sana,…..ila kama hajui chukulia kama unaitoa sadaka anyway mwanaume unatakiwa kuwa na budget ya kuhonga per month.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…