Wanaume na Wanawake mnishauri mi mwenzenu nakosea wapi? Nifanye nini? Mbona nakutana na mabalaa hivi?

Ni Mara ya nne hiyo ndani ya wiki moja

Ila mkuu ukijua unachokitaka kwa huyo manzi nadhani haiwezi kusumbua kichwa….. kama chapa ilale weka mazingira ya yeye kupata hela kwa malipo, kuku lazima uitupie mchele mchele kwanza kabla haijaingia bandani unless achana nao.
 
Ila mkuu ukijua unachokitaka kwa huyo manzi nadhani haiwezi kusumbua kichwa….. kama chapa ilale weka mazingira ya yeye kupata hela kwa malipo, kuku lazima uitupie mchele mchele kwanza kabla haijaingia bandani unless achana nao.
Sina mpango naye. Halafu Mimi ni Kama Chizi Maarifa sipendagi wanawake wenye mentality za hivyo
 
Hana akili. Ameenda Arusha kutembea anakosa pesa ya kula? Angekaa home aniambie hana pesa ya kula hamna wateja ofisini ngemwelewa.
Ukiona hizi ishu ndogo hivi mnaiwekea mada kisa umeombwa 10k tu ya kula,kausha mahusiano sio lazima kabisa si kuna wale wanaojiuza
 
Yuko safarini anaenda Arusha matembezi
Mwache abaki na njaa yake
 
Kwanza huyo mwanamke atakuwa na mwanaume mwingine wa maisha yake wewe anakitumia kupata pesa za vikoba au upatu
 
Ungempa hela ya kula binti wa watu,sioni hoja ya kuja kusema huku. Kutoa ni moyo, acha ubahili chizi.
 
Mkuu nakuhakikishia kwamba kamwe hutokuja kutongoza mwanamke asiyeomba pesa.
Kila mwanamke Ni mwomba pesa sema wanapishana Katika speed na muda wa kuomba pesa.

Tafuta tu pesa uwe nazo za kutosha ili uweze kuhimili mikiki ya wanawake.
 
Wanaume tunaamini dem anayejielewa na anayekuelewa hawezi kukuomba hela hovyo hovyo

Wanawake wanaamini mwanaume anayejielewa na anayekuelewa ukimwomba hela mda wowote atakupa hawezi kukunyima

Sema twendeni tutafuka tu
Kweli tukielewa tuna aibu kuomba, kuna raha yake upewe hela bila kuomba, ila kuna viumbe mwaka unakata hajiongezi hata hadi unapata makasiriko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…