Wanaume na Wanawake Njooni hapa Sharti na kuoa au kuolewa. Tahadhari muisome

Wanaume na Wanawake Njooni hapa Sharti na kuoa au kuolewa. Tahadhari muisome

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Imekuwa desturi ama mila ama utamaduni kuhusu kuoa ama kuolewa.

Lakini kuna mambo ya misingi ambayo katika ngazi familia, koo, jamii, kanisani,, misikitini, shuleni, na vyuoni yapaswa kuwa sehemu ya mafundisho.

Kumwandaa Mume, Mke, Baba, na Mama ni wajibu wa msingi katika jamii na Taifa.

Sasa basi nasema hivi

Wanaume sharti hizi hapa
1. Ukiwa na hasira za kupiga na kutishia kwa kinywa au maandishi na kumtukana mwanamke Usioe huna sifa kaa single enjoy maisha.
2. Mwanaume kama hujui kuwa msingi wa kuwa Baba au mume ni kuwa na pesa na kutoa pesa acha utakufa mapema Usioe
3. Mwanaume kama hujui alama za mwili za ukoo wako usioe utaibiwa sana na mkeo usioe
4. Mwanaume usioe kabla hujajua aina mbalimbali za k
5. Mwanaume kama hujui kutambua k ikiwa haijatumika na ikiwa imetumika usioe huna sifa
6. Mwanaume kama huna uhakika wa kumpenda mwanamke Usioe kaa mbali na nyota mbaya.
7. Mwanaume kama unakula Ndogo usioe huna sifa ya uume wa kuwa Baba.

Wanawake sharti hizi hapa
1. Wanawake ukiwa mjeuri, mjivuni, mwenye dharau, usiemtiifu, usiemnyenyekevu Baki single mother ufurahie maisha.
2. Mwanamke kama ushapita na wanaume 5+ kwenye mahusiano kwa awamu tofauti wewe ni lishangazi kaa ishi maisha yako
3. Mwanamke kama umekuwa na kawaida ya kuwa na boyfriends 2,3,4+ kwa wakati mmoja usiolewe maana wewe ni pepo la kudumu
4. Mwanamke kama una bahatisha mume acha usiolewe.
5. Mwanamke kama analiwa Ndogo atulie tu aishi maisha ya ushangazi maana hana sifa ya kuwa mke.

Asanteni kwa hayo machachei ongezeni na nyie

Chief Wadiz
 
Mods baada sharti itoke "na" iwekwe "la" kindly saidia
 
Huna unalolijua kuhusu ndoa mkuu

Ur welcome...
 
Back
Top Bottom