Wanaume na wanawake tumbua jipu linalo kukera.

Wanaume na wanawake tumbua jipu linalo kukera.

Mwanamke ndani ya gari kavaa blauzi fupi mikono kwapa jeusi kuliko rangi ya mwili wake harufu ya jasho linapenya fuluu mvii kwapani.

Kashikilia bombaa hapoooooooo
 
Mhmmhmhmhmhmhmhmh kama Naona ban kwa mbaaaaaaaalli!!!

Wacha nipite tu [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Mahondaw wa Smart911
Unataka kufanya nini hadi upigwe ban
 
Mwanamke ndani ya gari kavaa blauzi fupi mikono kwapa jeusi kuliko rangi ya mwili wake harufu ya jasho linapenya fuluu mvii kwapani.

Kashikilia bombaa hapoooooooo
Doh hili nalo ni jipu tena limewiva haswa
 
Imeandikwa mwanamke pambo la nyumba sa pambo litapambikaj bila ela kutumik na kun mwanaum gani anaependa mwanamke ambae yupo hovyo na ili asiwe hovyo lazim mwanaume uhakikishe mwanamke wako yupo good anavutia masaa 72ukimtizama unafurahi
 
Mambo ya kuuzian makubaliano sio kil mtu anauza viungo vya utam wapo wanaopewa bureee na wapenz waooo
 
Back
Top Bottom