Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tabia ya kuombwa ombwa hela kila mara na mwanamke naikemea
Mzee hili la moyoni kabisaWanawake hamjibu PM zangu.
Halafu wengine mnaweka avatar nzurii lakini PM mnazifungia, vibaya hivyo.
Hahahh, tena la siku nyingi. Nlikua natafuta pa kuliweka.Mzee hili la moyoni kabisa
Tusaidiane kulikoleza liwe fent font lionekaneHahahh, tena la siku nyingi. Nlikua natafuta pa kuliweka.
Tabia ya kuombwa ombwa hela kila mara na mwanamke naikemea
Viungo vya utamu tumepewa bure, mbona inakuwa kama tunauziana/kunyanyasana/kuringishiana?! Nyie wanawake acheni huu ukatili...