Wanaume na wanawake wa Dar mnachekesha sana...

Acha kumbe uchawi wanautengeneza wao wenyewe halafu badae wanataka tuwasaidie kusema ili waonewe huruma
Hivi huko pia mnaamini uchawi duu. Mnafanya nini sasa si mrudi tu mkoani
 
Tunaamin uchawi au mnatuletea kesi zenu tuwasaidie huku mjin mchawi pesa mama hayo matunguli ya kwenu
 
Embu tunza bas huo ufahamu ulionao kidogo maana dah unasema TBC unapata vitu vya maana mmesahau mh anapenda 360 enhee??
Anza leo kuangalia TBC halafu utanipa mrejesho na hutajutia
 
Tunaamin uchawi au mnatuletea kesi zenu tuwasaidie huku mjin mchawi pesa mama hayo matunguli ya kwenu
Hahahaa! Wakati nilivyokuja mwaka juzi mabango kibao ya waganga wa kienyeji yamejaa barabarani. Usipende kuwa mbishi wewe na huyo mwenzako Dam55
 
Ha ha ha ha kumbe ushawah kuja daslam enhee? Kwan hao waganga wametoka wap kama sio mkoan wameona huku kuna hela
 
Kuna hela wapi wakati wamejua mnaamini ushirikina.
 
Back
Top Bottom