Hivi huko pia mnaamini uchawi duu. Mnafanya nini sasa si mrudi tu mkoaniAcha kumbe uchawi wanautengeneza wao wenyewe halafu badae wanataka tuwasaidie kusema ili waonewe huruma
Ndio hivyo mkuu,Acha kumbe uchawi wanautengeneza wao wenyewe halafu badae wanataka tuwasaidie kusema ili waonewe huruma
Tunaamin uchawi au mnatuletea kesi zenu tuwasaidie huku mjin mchawi pesa mama hayo matunguli ya kwenuHivi huko pia mnaamini uchawi duu. Mnafanya nini sasa si mrudi tu mkoani
Tatizo hamkosagi utetezi. Nyie jigambeni tu na dar yenu. Ila karibu mkoaniNdio mambo ya kimjini mjini we lazima uyashangae tu hamna namna.
Hapa ni chuo mkuu
Anza leo kuangalia TBC halafu utanipa mrejesho na hutajutiaEmbu tunza bas huo ufahamu ulionao kidogo maana dah unasema TBC unapata vitu vya maana mmesahau mh anapenda 360 enhee??
Tutakuja msimu wa mavunoTatizo hamkosagi utetezi. Nyie jigambeni tu na dar yenu. Ila karibu mkoani
Sio kupenda ligi ndio ukweli hampo sawa na sisi wa mkoani hata mfanyejeDah watu wa mikoan mnapenda lig aisee
Nmeshaiblock kwenye chanel zanguAnza leo kuangalia TBC halafu utanipa mrejesho na hutajutia
Sasa toka lin boss atakua sawa na kijakaz wake?Sio kupenda ligi ndio ukweli hampo sawa na sisi wa mkoani hata mfanyeje
Hahahaa! Wakati nilivyokuja mwaka juzi mabango kibao ya waganga wa kienyeji yamejaa barabarani. Usipende kuwa mbishi wewe na huyo mwenzako Dam55Tunaamin uchawi au mnatuletea kesi zenu tuwasaidie huku mjin mchawi pesa mama hayo matunguli ya kwenu
Njoo kipindi cha mvua nikufunze kulimaTutakuja msimu wa mavuno
Ha ha ha ha kumbe ushawah kuja daslam enhee? Kwan hao waganga wametoka wap kama sio mkoan wameona huku kuna helaHahahaa! Wakati nilivyokuja mwaka juzi mabango kibao ya waganga wa kienyeji yamejaa barabarani. Usipende kuwa mbishi wewe na huyo mwenzako Dam55
Ndio tatizo lenu hilo mshazowea ma MTV hayana maana hayo shauri yakoNmeshaiblock kwenye chanel zangu
Mie nikilima wewe kaz yako itakuwa ipi??Njoo kipindi cha mvua nikufunze kulima
Hapo boss nani sasaSasa toka lin boss atakua sawa na kijakaz wake?
Kuna hela wapi wakati wamejua mnaamini ushirikina.Ha ha ha ha kumbe ushawah kuja daslam enhee? Kwan hao waganga wametoka wap kama sio mkoan wameona huku kuna hela
Ha ha ha ha hyo MTV uliiona lin mama?Ndio tatizo lenu hilo mshazowea ma MTV hayana maana hayo shauri yako
Hahahaa! Zipo nyingi tuMie nikilima wewe kaz yako itakuwa ipi??
Nilivyokuja dsm hiyo mwaka juziHa ha ha ha hyo MTV uliiona lin mama?
Wewe nan anakupa hela ya kulimiaHapo boss nani sasa