Kwan mnavyolima viaz mlitegemea vikija mjin tuvifanyaje?Ila pia kwa kupenda chips daah mungu anawaona
Ila sio kosa lenu mshazowea joto wenzetu.Povu mmeanza nalo nyie maana mmeanza oooh mvua kidogo mshavaa koti sasa mlitaka tusubir mafuriko ndio tuvae Jaman?
Ha ha ha ha mzee sio za namna hyo hizo wanavaa washamba wa mkoan wakija mjinBasi mimi nilijua ni kama hayo, ndo maana nikawaza labda unapiga kazi za ujasusi part-time.
Nilijua tu basi we wa dar nielekezeWatu wa mkoan bwana hata upande wa kulia haujui
Kumbe majibu sahih mnayo enhee mbona mkija mjin mnashinda na vikata mikono na hatuwasem hata kama joto sio kaliIla sio kosa lenu mshazowea joto wenzetu.
C mnaleta mazereu elekezanen na wa m ikoan wenzioNilijua tu basi we wa dar nielekeze
Hahahaa! Sio kweli kwa sababu hata huku pesa ipoSasa mnatakiwa kutuheshimu sisi tunaowatumia hela ya matumizi watu wa mikoani
Wala hatutaki mfanane na sisi kwa sababu sisi tunavaa mazito hatariYa kawaida ndio yakoje?
Ilimradi tufanane na mnayoyavaa huko
Nyie si wapanda milima ndio maana mkija daslam mnasumbuaWala hatutaki mfanane na sisi kwa sababu sisi tunavaa mazito hatari
Acheni dharau hata nyie mkija huku tunawaona washamba piaHa ha ha ha mzee sio za namna hyo hizo wanavaa washamba wa mkoan wakija mjin
Kumbe ka emmyta nako ni kakulima? Kaambie kaongeze juhudi kwenye mahindi huku mjini unga umekuwa aghali kuliko mchele...Bakin huko huko mnafikr Ile mikate ya bakhresa mtaipataje
Endleen kutuudhi tu
Na mtashangaa sana tu yani.Hahahaa! Unadhani tunateseka basi tunapenda tu kuja kuwashangaa mambo yenu.
Ha ha ha ha mmesahau tukija mikoan kila nyumba mnatupitsha ili tusalimie ili mrad tu uonekane na wewe umepata mgeni wa daslamAcheni dharau hata nyie mkija huku tunawaona washamba pia
Ndio mngetuambia sasa , hivyo mnavyokaa kimya tutajuaje.Kumbe majibu sahih mnayo enhee mbona mkija mjin mnashinda na vikata mikono na hatuwasem hata kama joto sio kali
Huyo c wa milimani mwambie alime tu aisee hakuna namna akija mjin nan atakaelima sie tutapeleka hela wao walime mavaz yetu watuachie kama yalivyoKumbe ka emmyta nako ni kakulima? Kaambie kaongeze juhudi kwenye mahindi huku mjini unga umekuwa aghali kuliko mchele...
Muda si mrefu magerezani msosi utakuwa pilau badala ya ugali
Lakini hata nyie mwanzo si mlikuwa hivyo hivyo.Na mtaahangaa sana tu yani.
Wengine mnashangaa hadi mabasi ya mwendokasi!!! Mna maana nyie
Wanawake ndo kabisaa wanashangaa hadi wanajikuta wanatoa uroda bora kujielewa kumbe ushamba umewaponza!!
Hivi unaanzaje kumsahahisha mshamba kila kitu anajua tunawaacha tu kama ilivyoNdio mngetuambia sasa , hivyo mnavyokaa kimya tutajuaje.
Sasa kinachokufanya ushangae hapo ni nini, mbona nyie mkija dar mijasho inawatoka inawatiririka hadi mikononi kwenye daladala mnawadondoshea abiria wenzenu, mnatukalia matumbo wazi, hadi wengine utasikia wanasema huu mji hawauwezi bora warudi mikoani kwao. Mbona sisi tunawachukulia kawaida tu tunajua hii hali hamjazoea
Sijawahi kufikiria kuja kuishi mikoani.labda nihame nchi.Kimvua kidogo tu kimenyesha.. Mmeshanza kuvaa masweta na makoti utafikiri mpo kwenye Polar continents. . Mkija mkoani mtayaweza kweli maisha... Acheni mambo ya ajabu nyie watu..
Mwanzo upi sasa wakat nyie mmetukuta mjinLakini hata nyie mwanzo si mlikuwa hivyo hivyo.