Wanaume na wanawake wa Dar mnachekesha sana...

Wanaume na wanawake wa Dar mnachekesha sana...

Bakin huko huko mnafikr Ile mikate ya bakhresa mtaipataje
Endleen kutuudhi tu
Kumbe ka emmyta nako ni kakulima? Kaambie kaongeze juhudi kwenye mahindi huku mjini unga umekuwa aghali kuliko mchele...

Muda si mrefu magerezani msosi utakuwa pilau badala ya ugali
 
Hahahaa! Unadhani tunateseka basi tunapenda tu kuja kuwashangaa mambo yenu.
Na mtashangaa sana tu yani.
Wengine mnashangaa hadi mabasi ya mwendokasi!!! Mna maana nyie
Wanawake ndo kabisaa wanashangaa hadi wanajikuta wanatoa uroda bila kujielewa kumbe ushamba umewaponza!!
 
Acheni dharau hata nyie mkija huku tunawaona washamba pia
Ha ha ha ha mmesahau tukija mikoan kila nyumba mnatupitsha ili tusalimie ili mrad tu uonekane na wewe umepata mgeni wa daslam
 
Kumbe majibu sahih mnayo enhee mbona mkija mjin mnashinda na vikata mikono na hatuwasem hata kama joto sio kali
Ndio mngetuambia sasa , hivyo mnavyokaa kimya tutajuaje.
 
Kumbe ka emmyta nako ni kakulima? Kaambie kaongeze juhudi kwenye mahindi huku mjini unga umekuwa aghali kuliko mchele...

Muda si mrefu magerezani msosi utakuwa pilau badala ya ugali
Huyo c wa milimani mwambie alime tu aisee hakuna namna akija mjin nan atakaelima sie tutapeleka hela wao walime mavaz yetu watuachie kama yalivyo
 
Na mtaahangaa sana tu yani.
Wengine mnashangaa hadi mabasi ya mwendokasi!!! Mna maana nyie
Wanawake ndo kabisaa wanashangaa hadi wanajikuta wanatoa uroda bora kujielewa kumbe ushamba umewaponza!!
Lakini hata nyie mwanzo si mlikuwa hivyo hivyo.
 
Sasa kinachokufanya ushangae hapo ni nini, mbona nyie mkija dar mijasho inawatoka inawatiririka hadi mikononi kwenye daladala mnawadondoshea abiria wenzenu, mnatukalia matumbo wazi, hadi wengine utasikia wanasema huu mji hawauwezi bora warudi mikoani kwao. Mbona sisi tunawachukulia kawaida tu tunajua hii hali hamjazoea

Afu ukute kikwapa kinaachia ile harufu ya machinjioni...
 
Kimvua kidogo tu kimenyesha.. Mmeshanza kuvaa masweta na makoti utafikiri mpo kwenye Polar continents. . Mkija mkoani mtayaweza kweli maisha... Acheni mambo ya ajabu nyie watu..
Sijawahi kufikiria kuja kuishi mikoani.labda nihame nchi.
 
Back
Top Bottom