Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,007
Mtwala!!!nmepita naelekea zangu Mtwala mie nmetokea kusini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtwala!!!nmepita naelekea zangu Mtwala mie nmetokea kusini.
Kwani mkuu huwa husafiri au huko dar ndio umefikaTusipoyavaa tutayavaa lini
Watu wenyewe mkija huku mnaanza kuleta maneno ya kifedhuli Nan anawatakaHatutaki. Tutakuja huko huko mpaka mwenye mji atukataze.
Ha ha ha ha mniache na koti langu la russiaHata nami nilihisi hivyo ujue.
Huwa nasafiri sana ila mwili wangu umezoea hali ya hewa ya DsmKwa mkuu huwa husafiri au huko dar ndio umefika
Si ndio kama hivyo tunakuja kujionea maajabu yenu kama Loafer tanzania aliyoyaona leo.Basi mtuache na daslam yetu nyie mnafuata nn huku?
Basi ukisafiri utalitumia tuHuwa nasafiri sana ila mwili wangu umezoea hali ya hewa ya Dsm
Kwan huko kwenu Hakuna maajabu mpka mje daslamSi ndio kama hivyo tunakuja kujionea maajabu yenu kama Loafer tanzania aliyoyaona leo.
Na ndio nafanya nikiwa safarini navaa na nikiwa homeland navaa.Basi ukisafiri utalitumia tu
Ya kifedhuli wapi. Punguzeni manjonjo mana mnafanya vitu vingine hata visipostahili kufanywa.Watu wenyewe mkija huku mnaanza kuleta maneno ya kifedhuli Nan anawataka
Mkuu wewe Wa dar, kama upo dar siku moja tupige tour alafu utajionea mwenyeweMkuu umejuaje.. Emb tupe uzoefu wakonkwenue hiyo sekta
Hahahaaa tutake radhi mkuu, sisi wanaume wa dar ni mashababi, nyie washamba wa mikoani kazi yenu kulima ili sisi wa mjini tuleMaisha yao hayana tofauti kati ya mwanamke na mwanaume wote wanafanana sasa sijui kama wanawafikishana
Kwan sie tukifanya nyie inawahusu nin?Ya kifedhuli wapi. Punguzeni manjonjo mana mnafanya vitu vingine hata visipostahili kufanywa.
MmhMiili yetu haijazoea baridi... Ko msitushangae!!! Mimi miaka kadhaa nyuma niliwai enda mbeya mwezi wa sita, wiki mbili tu ikabidi wanirudishe Dar, nilipata pneumonia [emoji23][emoji23][emoji23]... Nikaenda tena mwezi wa joto wenzangu wanavaa visinglet mimi navaa likoti hilooo sababu ya baridi.
Ila sasa ivi mwili wangu ushazoea baridi... Nilivyorudi Tz nikawa naona joto kali sana...
Ndio mshukuru sasa wote tungejazana huko dsm mngekula nini?Hahahaaa tutake radhi mkuu, sisi wanaume wa dar ni mashababi, nyie washamba wa mikoani kazi yenu kulima ili sisi wa mjini tule
Mnazingua sanaKwan sie tukifanya nyie inawahusu nin?
Haituhusu ila mkiwa watanzania wenzetu mnatushangaza. KhaaaKwan sie tukifanya nyie inawahusu nin?
JotoWanawake Wa dar wavaa madela bila chupi
Hata hakuna huku watu wamenyooka wanajua kila kitu kina sehemu yake ila sio hukoKwan huko kwenu Hakuna maajabu mpka mje daslam