Wanaume na wanawake wasiopenda kujipiga selfie wana sura mbaya

Aisee, mbona kuna tafiti nyingine inasema wanaopenda selfie ndo wanaoongoza kwa Upweke, au hii ni ya TUSIOWEZA.
 
umekula maharage ya wapi mkuu,,sio sawa kusema mtu anasura mbaya,,kwanza kupiga piga vi selfie ni utoto + ulimbukeni
Wewe mwenyewe unasura mbaya ndiyo maana hata avatar umeweka ya mwanamke mwenzio teh teh teh!
 
Huu ndiyo ukweli wanawake na wanaume wasiopenda kupiga selfie wanasura mbaya, hawajipendi, hajiamini pia hawapendi kuona sura zao maana ni mbaya na hazina mvuto.

Usitokwe povu huu ndiyo ukweli.
Bora hata ungesema kupiga picha. Siyo kila mtu anapenda kupiga picha (kuuza sura) kwa sababu zake. Lkn mambo ya kupiga selfie ni ugonjwa tena (addiction), wanaoipiga selfie hasa watu weusi siyo wazima. Fanya kazi, uzuri waachie dada zako. Unataka uj*zwe?
 
Mtoa mada ni me au ke

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Mara nyingi wapenz wa picha za selfie ni watu wenye matatizo ya kisaikolojia
Period

cephalocaudo the greatest
 
Nilikua najiridhisha kwanza kwa kupitia mabandiko yako....[emoji2] [emoji2]
Basi sawa....
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
salute mzee wa ushirombo...
hivi mwanaume ili aitwe mwanaume na awe na tabia za kiume ni kuanzia umri gani?
na awe vipi.
 
Mleta mada atakuwa ni muuza sura mvulana wa dar

Sent from my Lenovo A7600 using JamiiForums mobile app
 
Mother vipi anayo selfie,kama hana muunganishe kwenye hilo kundi unaloliita la wenye sura mbaya
 
Me sipendi picha kiujumla iwe selfie iwe kawaida, sijui naingia kundi gani hapo!!!!!

Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app
 
salute mzee wa ushirombo...
hivi mwanaume ili aitwe mwanaume na awe na tabia za kiume ni kuanzia umri gani?
na awe vipi.
Salute ikurejee comrade...

Kuwa mwanaume ni lazima kiungo kidogo cha katikati ya mapaja kiwe na uwezo wa kuwakigumu, kila panapo tokea ujazo wa damu na ushirikiano wa akili.

Kuwa na tabia za kiume, hii inategemeana na malezi pia makuzi ya mazingira.

Umri bilashaka unaujua kwenye tofauti ya wavulana na wanaume...[emoji2] [emoji2]
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
We unaonekana ndo wale mnashinda mnapiga selfie halafu mnalalamika maisha magumu

Sent from my iPhone 6s
 
Mwanaume mashine
Self pelekea mapunga wenzio

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…