Huna busara hata chembe dogo. Yani kwako selfie ni kitu muhimu sana eti! Huu ni ushamba utokanao na kupata smartphone ukubwani.Huu ndiyo ukweli wanawake na wanaume wasiopenda kupiga selfie wanasura mbaya, hawajipendi, hajiamini pia hawapendi kuona sura zao maana ni mbaya na hazina mvuto.
Usitokwe povu huu ndiyo ukweli.
sikupendi wewe na dabi sijui dobi wako[emoji28] [emoji28] [emoji28] alafu jiran mdogo ako kakuandama sana toka usiku kila kitu daby
mambo kisuraMwanaume kamili hana mambo ya ajabu ajabu kama haya
Siyo rizki wewe
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Poa sntmambo kisura
nimefuahi umenijibuPoa snt
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Kwani wamekulazimisha kitu?Huu ndiyo ukweli wanawake na wanaume wasiopenda kupiga selfie wanasura mbaya, hawajipendi, hajiamini pia hawapendi kuona sura zao maana ni mbaya na hazina mvuto.
Usitokwe povu huu ndiyo ukweli.
Ulikuwa mtego ili uone kama nitajibu au sitojibu???nimefuahi umenijibu
watoto wazuri kama ww nawaogopaUlikuwa mtego ili uone kama nitajibu au sitojibu???
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Ndio nyie kutwa kwenye vioo kujichk makalio .....shaur yako mjin hapaHuu ndiyo ukweli wanawake na wanaume wasiopenda kupiga selfie wanasura mbaya, hawajipendi, hajiamini pia hawapendi kuona sura zao maana ni mbaya na hazina mvuto.
Usitokwe povu huu ndiyo ukweli.
Ungelijua nilivyo mbayawatoto wazuri kama ww nawaogopa
Wewe mzuri[emoji35] [emoji35] [emoji35] ???Huu ndiyo ukweli wanawake na wanaume wasiopenda kupiga selfie wanasura mbaya, hawajipendi, hajiamini pia hawapendi kuona sura zao maana ni mbaya na hazina mvuto.
Usitokwe povu huu ndiyo ukweli.