Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
sasa why kila nikiona post zake mapigo yangu Yanaenda mbio?Ungelijua nilivyo mbaya
Mtoa post amenigusa
Ndio maana unaona povu kwa mbali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
He!sasa why kila nikiona post zake mapigo yangu Yanaenda mbio?
Post zake wewe hapo. Wala sio za mtoa mada. Ukiona hivyo ujue nimeshafika kwako.He!
post za mtoa mada au ???
Kwanin mapigo yawe juu kisa post???
Kuna uhusiano gani kati ya post na moyo wako???
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Ha ha h.Yupo kwenye relief ndiyo maana simjibu.
Mwanamme akiwa na sura nzuri anaweza akatatuliwaHuu ndiyo ukweli wanawake na wanaume wasiopenda kupiga selfie wanasura mbaya, hawajipendi, hajiamini pia hawapendi kuona sura zao maana ni mbaya na hazina mvuto.
Usitokwe povu huu ndiyo ukweli.
Wengine Wanasema eti kujipiga selfie sababu za kujua kuwa mtu huyo ni mpweke au ana msongo wa mawazo!Huu ndiyo ukweli wanawake na wanaume wasiopenda kupiga selfie wanasura mbaya, hawajipendi, hajiamini pia hawapendi kuona sura zao maana ni mbaya na hazina mvuto.
Usitokwe povu huu ndiyo ukweli.
Huu ndiyo ukweli wanawake na wanaume wasiopenda kupiga selfie wanasura mbaya, hawajipendi, hajiamini pia hawapendi kuona sura zao maana ni mbaya na hazina mvuto.
Usitokwe povu huu ndiyo ukweli.
Moyo wako unakihereherePost zake wewe hapo. Wala sio za mtoa mada. Ukiona hivyo ujue nimeshafika kwako.
Yaaani.Moyo wako unakiherehere
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Daluli za ushogomwanaume kupiga selfie kila mara ni tatizo
hakuna tofauti na kujiangalia kwenye kioo