Wanaume naomba mnisaidie hapa

Wanaume naomba mnisaidie hapa

Hivi inawezekana ukampenda mtu na usiwasiliane naye? Yaani ikapita siku tatu mpaka week? Inawezekana mwanamke unayempenda usitake kumjulia hali?

Naombeni tu mnisaidie hili jibu

Mtu anakwambia anakupenda ila ukijikausha usimtafute wewe anaweza asikutafute mpaka week anakucheki tena kuna ukweli hapo?
Unapoteza muda wako
 
Kazi ipo
 
Back
Top Bottom