Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Sasa nitafanyaje ndugu..ndo kaniambia yeye tena
Hapana sijamuelewa ila niliamua kunata na beat tu mkuuNimeona kama umemwelewa, ndo ikabidi niulize, umemwelewa?
Unapoteza muda wakoHivi inawezekana ukampenda mtu na usiwasiliane naye? Yaani ikapita siku tatu mpaka week? Inawezekana mwanamke unayempenda usitake kumjulia hali?
Naombeni tu mnisaidie hili jibu
Mtu anakwambia anakupenda ila ukijikausha usimtafute wewe anaweza asikutafute mpaka week anakucheki tena kuna ukweli hapo?
Kazi ipoHivi inawezekana ukampenda mtu na usiwasiliane naye? Yaani ikapita siku tatu mpaka week? Inawezekana mwanamke unayempenda usitake kumjulia hali?
Naombeni tu mnisaidie hili jibu
Mtu anakwambia anakupenda ila ukijikausha usimtafute wewe anaweza asikutafute mpaka week anakucheki tena kuna ukweli hapo?