UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Wanajamvi,
Kuna mdada hapa anahitaji masaada wa kimawazo ili imsaidie kuwaelewa wanaume.
Anasema kuna siku kaka mmoja ambaye wamezoeana, wanaongea, sms, email nk, kiasi kwamba wamekuwa marafiki wazuri tu.
Siku moja huyo kaka akamwomba watoke ona date. Dada bila tatizo akakubali na siku ilipofika wakaenda.Walikuwa pamoja huko kama masaa matatu na ushee hivi, na outing kwaujumla ilikuwa nzuri.
Lakini, kinachomsumbua huyu dada nikwamba, ktk masaa hayo matatu ya outing, muda walioutumia pamoja kwamaongezi ni kama masaa mawili hivi, au pungufu ya hapo! Muda mwingine uliobaki huyo kakaalikuwa kwenye hamsini zake, mara atoke akaongee na simu pembeni,mara yuko busy anatext, mara anablogi (sijui kama JF!) yaanialitumia muda mwingi kwa mambo ambayo hayakuhusiana kabisa na dateyenyewe. Hilo lilimpa shida huyo sister kujua kama hiyo ndo tabia wa wanaume au ni tabia ya huyo mkaka tu.
My take:
Gentlemen, nadhani tunapaswakuwa sensitive tunapokuwa kwenye mambo kama haya na tuonyeshe kujali.Kama kweli umempa mtu date halafu unatumia karibu nusu ya mudamtakaokuwa pamoja kwa mambo mengine, ambayo yawezekana siyo ya muhimukiasi hicho, nadhani inaonyesha kutokujali. Tuthamini na kujalimahusiano yetu na muda wa hao watu.
Wanajamvi, najua penye wengihapaharibiki neno. Nyie mnalionaje hili?