Wanaume nawakumbusha kuoga kipindi hiki cha mvua

Wanaume nawakumbusha kuoga kipindi hiki cha mvua

Mambembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
2,217
Reaction score
2,970
Habari,
Jamani nawakumbusha wanaume kuoga mvua isiwe kikwazo cha nyie kutokuoga, ikaja kuwa kivumbi huku maofisini kwa harufu za perfume zilizochanganyika na kutokuoga.

Yes i know wengi mta-take advantage ya kuoga jana but please ogeni ndo mje maofisini.

Sitaki ubishi coz im sure 60% hamjaoga leo. Wadada leo msikubali kukumbatiwa hovyo manake najua leo Jumatatu wanajifanyaga kuhug hug kisa it was weekend hamjaonana.

Mambembe the unstoppable
Queen off all weather
 
Ila mimi nimeoga, na ni lazima nioge no matter what
Grown man talk.....unajuaa ukiogaa inakuwa comfortable popote ilaa usipooga hata kutembea na mtu unajishtukiaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umekumbusha jambo la maana sana lakini uogaji wa hichi kipindi lazima kutumia formular maalumu [emoji116]
Screenshot_2018-04-15-22-04-21.jpg
 
Kwani nini kinachosumbua kuoga mpk iwe issue mrembo..??? Mbona hili sio baridi..?? Niliwahi kusoma Mbeya na nilikuw naoga, hichi kimvua ndo unaona baridi...??
Wanaume wa dar huwajui eehee??kuanziaa 35s wanaogaaa ila chini ya hapo ni ma spray tu mpkaa mahood ilimradi asiogee
 
Back
Top Bottom