Wanaume nawakumbusha kuoga kipindi hiki cha mvua

Mambembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
2,217
Reaction score
2,970
Habari,
Jamani nawakumbusha wanaume kuoga mvua isiwe kikwazo cha nyie kutokuoga, ikaja kuwa kivumbi huku maofisini kwa harufu za perfume zilizochanganyika na kutokuoga.

Yes i know wengi mta-take advantage ya kuoga jana but please ogeni ndo mje maofisini.

Sitaki ubishi coz im sure 60% hamjaoga leo. Wadada leo msikubali kukumbatiwa hovyo manake najua leo Jumatatu wanajifanyaga kuhug hug kisa it was weekend hamjaonana.

Mambembe the unstoppable
Queen off all weather
 
Ila mimi nimeoga, na ni lazima nioge no matter what
Grown man talk.....unajuaa ukiogaa inakuwa comfortable popote ilaa usipooga hata kutembea na mtu unajishtukiaa
 
Hahahahahhahha na hii formulaa sio ya wanaotumiaa vikopo hapa wa vikopo wananawa na kupangusa tu makwapa.......halafu spray nyingiiii
Eeh!

Wa makopo kweki hapo ni mtihani sasa sijui mfumo wao umekaaje?

Ngoja waje tuone wanasemaje
 
Kwani nini kinachosumbua kuoga mpk iwe issue mrembo..??? Mbona hili sio baridi..?? Niliwahi kusoma Mbeya na nilikuw naoga, hichi kimvua ndo unaona baridi...??
Wanaume wa dar huwajui eehee??kuanziaa 35s wanaogaaa ila chini ya hapo ni ma spray tu mpkaa mahood ilimradi asiogee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…