Wanaume nchini kuvalia njuga suala la binti wa Yombo ni sababu imehusisha 'mchepuko'?

Wanajikuta kujisahaulisha na kujifanya kwa kwanza kuchukia ushoga wakati wenyewe ndio walaji[emoji23][emoji23]
Hapoo sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeuwahisha sana huu mjadala, kwani kwa wakati huu hauna afya na unaleta picha kuwa umeamua kutufanya tujue upande wako kwenye suala hili.

Tumwache huyu binti kwanza, maana amefanyiwa ukatili mkubwa sana.

Ova
 
Sasa hapo unataka wanaume tuseme nini? mwanaume mwenzetu alipata pa kuondolea stress za nyumba kubwa, na nyumba kubwa kafanya uharibifu wakat yeye hajui kumtuliza mume, kwahiyo sisi wanaume tunasimama upande wa Binti alichofanyiwa ni ukatili mkubwa sana, binti alikuwa na majukumu mazito kuhakikisha mwanaume mwenzetu anaishi maisha mazuri na marefu
 
Madai yako ni yapi haswa, kwamba hii ishu imevaliwa njuga na wanaume kuliko wanawake??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…