Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hapa tunajadili nn? Suala bintu wa Yombo, au Mama wa kambooo??.Mama wa kambo kumtesa mtoto ni usaliti?
Hapoo sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanajikuta kujisahaulisha na kujifanya kwa kwanza kuchukia ushoga wakati wenyewe ndio walaji[emoji23][emoji23]
Na imemuingiaa haswaaa.Muongeze dozi mpaka imuingie vizuri
Umeuwahisha sana huu mjadala, kwani kwa wakati huu hauna afya na unaleta picha kuwa umeamua kutufanya tujue upande wako kwenye suala hili.Wakuu mko salama?
Declaration: Sitetei wala ku-support masuala ya ukatili kwa namna yoyote ile
Sasa twende kwenye mada husika, kuna jambo limenishangaza kiasi kwenye kesi hii inayoendelea kumuhusu 'binti wa Yombo' na wabakaji waliotumwa na 'Afande'.
Kilichonishangaza siyo kwa polisi kujaribu kuwatetea wabakaji maana hili ni katika kusafisha jina lao, tunategemea watafanya kila njia kuhakikisha image yao inaendelea kuwa safi, labda kama mtuhumiwa atakuwa na mkono mfupi hapa unachomwa tu tena kwa hasira😅.
Mshangao wangu upo kwa wanaume wa kibongo kutetea kwenye suala la sexul abuse (unyanyasaji wa kingono) bila kusema "Akome kula vya watu", "Alifikaje humo chumbani?", "Huyu alijitakia," "Lazima kuna sababu hawezi tu kufanyiwa hivi hivi" na list inaendelea. Maana wanaume wengi ni kama huwa wanaona kuna ka justification kwenye unyanyasaji kwa wanawake, ishu ikitokea utasikia kwani alifanya nini? Lazima tu itakuwa kuna sehemu amekorofisha ndio maana amefanyiwa hivyo.
Je, ni kwasababu anayedaiwa kuwatuma wale watu ni 'Afande' au sababu ni ishu ya mchepuko?
Kwenu wana MMU
uzi ukatwe uishie hapa. naunga mkono.Ila ukishajiita au kuwa cute tayari Kuna vitu vinakuwa haviko sawa!jamii inapambana kuhakikisha Binti anakuwa salama we unakuja na gender
Si ndo hapo yaani hatumuelewi, sisi tunataka wahusika wafungwe afu mtoa mada anatuhamisha ajenda.Madai yako ni yapi haswa, kwamba hii ishu imevaliwa njuga na wanaume kuliko wanawake??