Wanaume ndio wanakwazika zaidi wawapo na maumbile madogo (vibamia) kuliko hata wanawake (wenza wao)

Wanaume ndio wanakwazika zaidi wawapo na maumbile madogo (vibamia) kuliko hata wanawake (wenza wao)

Haya sasa kumekucha, Mambo ya viba100 na Dam.
 
Mimi hata sizingatiagi mambo yenye hiyo statement. Ndio yale mambo yakuambiwa unywe maji lita 5 kwa siku [emoji23][emoji23]
Sindo hapo 😂. Nilijaribu hiyo siku nilishinda chooni . Toka siku hiyo sifati “ushauri wa wataalamu” nafata mwili wangu unasemaje, nisiposkia kiu sinywi manji
 
SIJAWAI kuona Kibamiaa...hakuna kapicha mkuu
Picha
IMG_20210105_233737.jpg
 
Back
Top Bottom