Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wanaume katika mahusiano huwa hatukui, sisi huwa ni watoto wadogo, na tunategemea wanawake walijue hilo.
Mnapokuwa kwenye mahusiano na sisi, jitahidini mtulee kama watoto wadogo; ndio maana kabla ya kupata mtoto, mwanaume (mume) hujulikana kama mtoto wa kwanza, na mwanamke huitwa mama y, na hiyo y ni jina la mumewe.
Mkishindwa kutulea kama watoto, tutaendelea kuchepuka kwa kutafuta huduma sahihi uko nje ambako zinapatikana.
Ni aibu sana, kwa mwanamke kumwambia mpenzi wake kuwa, leo sikupi au tuwe tunafanya labda mara mbili kwa wiki; kwa kifupi tutawakimbia.