Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #41
zawadi kwa kufanya kazi ganiamenipenda na ameamua kunipa zawadi....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zawadi kwa kufanya kazi ganiamenipenda na ameamua kunipa zawadi....
eti vicoba, ahahahhah😂😂😂😂😂nyie wanawake wa siku hizi mna saundi sana; au vikoba ndio vimewafundisha?
kijana pesa ya mwanamke inalika vizuri tu😂zawadi kwa kufanya kazi gani
Yaani mna tupiga maneno mpaka tunaamini ni ukwelieti vicoba, ahahahhah😂😂😂😂😂
mwanamke akikupa hela, kataa;huo ndio uanaumekijana pesa ya mwanamke inalika vizuri tu😂
sasa tukiwaambia tu ukweli hamtaki, lazima tuwapige sound na nyie kama mnavyofanyaga 😊😊😊😊Yaani mna tupiga maneno mpaka tunaamini ni ukweli
Haya, mida ya saa mbili usiku nitakutembelea hapo kwenusasa tukiwaambia tu ukweli hamtaki, lazima tuwapige sound na nyie kama mnavyofanyaga 😊😊😊😊
sawa karibu sana, uje umekula kabisa sina unga leo 😅...Haya, mida ya saa mbili usiku nitakutembelea hapo kwenu
Haina shida ukinipokea kwa masham sham, utaogea maziwa.sawa karibu sana, uje umekula kabisa sina unga leo 😅...
ona sasa,,, me nlijua utasema utakuja na kiroba cha mchele😅😅Haina shida ukinipokea kwa masham sham, utaogea maziwa.
Haina shida ukinipokea kwa masham sham, utaogea maziwa.
Kiroba cha mchele, umekuwa kuku wewe 😀 😀ona sasa,,, me nlijua utasema utakuja na kiroba cha mchele😅😅
basi usije🙁,, nimehama kwanza😎Kiroba cha mchele, umekuwa kuku wewe 😀 😀
haya masanamu unayatoa wapi
nakuja tu hivyo hivyobasi usije🙁,, nimehama kwanza😎
Gily 😂haya masanamu unayatoa wapi
kama unakuja na kiroba cha mchele ntakuelekeza ninapokaa saiz 🤗nakuja tu hivyo hivyo
inakera sana kwa kweli....Hakika kumnyima mume sio aibu peke yake ni dhambi pia
1 WAKORINTO 7:5
"Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu."
inakera sana kwa kweli....