Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #41
zawadi kwa kufanya kazi ganiamenipenda na ameamua kunipa zawadi....
eti vicoba, ahahahhah๐๐๐๐๐nyie wanawake wa siku hizi mna saundi sana; au vikoba ndio vimewafundisha?
kijana pesa ya mwanamke inalika vizuri tu๐zawadi kwa kufanya kazi gani
Yaani mna tupiga maneno mpaka tunaamini ni ukwelieti vicoba, ahahahhah๐๐๐๐๐
mwanamke akikupa hela, kataa;huo ndio uanaumekijana pesa ya mwanamke inalika vizuri tu๐
sasa tukiwaambia tu ukweli hamtaki, lazima tuwapige sound na nyie kama mnavyofanyaga ๐๐๐๐Yaani mna tupiga maneno mpaka tunaamini ni ukweli
Haya, mida ya saa mbili usiku nitakutembelea hapo kwenusasa tukiwaambia tu ukweli hamtaki, lazima tuwapige sound na nyie kama mnavyofanyaga ๐๐๐๐
sawa karibu sana, uje umekula kabisa sina unga leo ๐ ...Haya, mida ya saa mbili usiku nitakutembelea hapo kwenu
Haina shida ukinipokea kwa masham sham, utaogea maziwa.sawa karibu sana, uje umekula kabisa sina unga leo ๐ ...
ona sasa,,, me nlijua utasema utakuja na kiroba cha mchele๐ ๐Haina shida ukinipokea kwa masham sham, utaogea maziwa.
Haina shida ukinipokea kwa masham sham, utaogea maziwa.
Kiroba cha mchele, umekuwa kuku wewe ๐ ๐ona sasa,,, me nlijua utasema utakuja na kiroba cha mchele๐ ๐
basi usije๐,, nimehama kwanza๐Kiroba cha mchele, umekuwa kuku wewe ๐ ๐
haya masanamu unayatoa wapi
nakuja tu hivyo hivyobasi usije๐,, nimehama kwanza๐
Gily ๐haya masanamu unayatoa wapi
kama unakuja na kiroba cha mchele ntakuelekeza ninapokaa saiz ๐คnakuja tu hivyo hivyo
inakera sana kwa kweli....Hakika kumnyima mume sio aibu peke yake ni dhambi pia
1 WAKORINTO 7:5
"Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu."
inakera sana kwa kweli....