Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #61
weka namba ya mawasiliano, hatutaki ufe kwa njaa mrembo; mbinguni tutaulizwakama unakuja na kiroba cha mchele ntakuelekeza ninapokaa saiz π€
Na hizo nywele zako kila sehem bado unataka ulelewe kama mtoto mdogo mhhhh.Wanaume katika mahusiano huwa hatukui, sisi huwa ni watoto wadogo, na tunategemea wanawake walijue hilo.
Mnapokuwa kwenye mahusiano na sisi, jitahidini mtulee kama watoto wadogo; ndio maana kabla ya kupata mtoto, mwanaume (mume) hujulikana kama mtoto wa kwanza, na mwanamke huitwa mama y, na hiyo y ni jina la mumewe.
Mkishindwa kutulea kama watoto, tutaendelea kuchepuka kwa kutafuta huduma sahihi uko nje ambako zinapatikana.
Ni aibu sana, kwa mwanamke kumwambia mpenzi wake kuwa, leo sikupi au tuwe tunafanya labda mara mbili kwa wiki; kwa kifupi tutawakimbia.
Equation x ni kweli unataka kunyolewa vuzi....Na hizo nywele zako kila sehem bado unataka ulelewe kama mtoto mdogo mhhhh.
πππWeeeeh
Acha hizo, njoo utulee π πNa hizo nywele zako kila sehem bado unataka ulelewe kama mtoto mdogo mhhhh.
πππWeeeeh
Miaka 15 sijawahi kugusa huko hiyo ndio kazi yaoEquation x ni kweli unataka kunyolewa vuzi....
mkeo ana kazi sanaMiaka 15 sijawahi kugusa huko hiyo ndio kazi yao
Mim kwa kweli hapana siweziπππAcha hizo, njoo utulee π π
πππEquation x ni kweli unataka kunyolewa vuzi....
Nitakufundisha a e i o uMim kwa kweli hapana siweziπππ
Kheee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Mtoto mwenyewe eboo
Mrembo MariposaKheee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]