Wanaume ni majipu

Wanaume ni majipu

Siku zote sumaku hunasa vitu vyenye asili ya chuma hivyo uchigonga kwa mwanaume alizima atakugonga hivyo basi baada ya kugundua hili kina dada inabidi usiwakubali kirahisi wanaume maana kuna wengine wanajua yule jamaa ana yule bidada na alipita na yule lakini baadae akitokewa anakubali (hapo wenye tatizo ni kidada maana wanaume wakati mwingine huwa wanafanya mazoezi ya kutongoza ili wasisahau matokeo wanakubaliwa)
 
Jamani hivi mwanaume unakuwa na wanawake zaidi ya watano kwa wakati mmoja kwenye mahusiano ni nini mnakuaga mnatafuta au kuna research mnafanyaga huko kwa wanawake?
Na wanawake nao pia wako hivyo hivyo Zaidi ya wanawaume 5.
 
MFALME SULEIMAN ALIOA WANAWAKE ZAIDI YA 700 na ALITOKA na WENGINE ZAIDI ya 300 NA BADO WALIISHI VIZURI TU,eti LEO BOY WAKO ANACHEPUKA NA KIDEMU ICHII...,,kimoja tu UNAVIIIIIMBA KAMA ANDAZI LA KIYAHUDI BHANA! MSOME VITABU VYA DINI ILI KUPUNGUZA MADA kama hizi
 
Sababu ninazo nguvu za kiume za kutosha...
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
 
Na mnavotupanga mnadhani hatujui? Tunajua sana. Huyu wa vocha huyu wa pesa huyu wa kuuzia sura huyu wa ukweli huyu konda au kuwekewa mafuta huyu bosi na kila mmoja anapewa whuchi kwa wakti wake....jiangalien kwanza kwenye kioo
Ha haa kwahiyo ndio mnafanya lipizi?
 
Hizi mambo radha tafwauti miksa maufundi ya kila namna ...tunakua na research ya onja onja papuchi
 
Hata wanawake hivyo hivyo pia... Wanakuwa na wanaume zaidi ya watano...
 
Mpo wengi mno nyie wanawake chamsingi we pigania kuwa the bigest shareholder kwa huyo jamaa wako
 
Naona wiki hii kazi IPO.

Ila mama la mama nyie mnavyotupanga huwa manafanya utafiti pia au?
Tena hapo yupo wa kulipia salon yupo wa voucher huku anaelipa mitoko achilia mbali anaelipa kodi ya nyumba bila kumsahau anae mfikisha kunako yaani anakwambia huyu ndio roho yangu(kiboko yake)sasa hawalioni hilo?
 
Tena hapo yupo wa kulipia salon yupo wa voucher huku anaelipa mitoko achilia mbali anaelipa kodi ya nyumba bila kumsahau anae mfikisha kunako yaani anakwambia huyu ndio roho yangu(kiboko yake)sasa hawalioni hilo?
mama la mama ajifanya hajui Hayo. Mtoto wa kike ana mabwana zaidi ya watano. Wametupanga kama ndoo kwenye foleni ya maji. Hata wao ni majipu
 
Lkn enzi za mfalme suleiman hakukua na magonjwa kama ilivyo kwa sasa kwa hyo lazima tuwe waangalifu kwa hilo na wanaume mna risk kubwa coz kadri cku zinavyoenda wanawake wazuri wanazaliwa sasa cjui mtafanyaje na hizo tamaa zenu!
 
Back
Top Bottom